Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Kama anadaiwa kweli alipe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akimalizana na wale atakuja kwetuKweli ccm ni janga mpaka diamond kaanza kuichukia
Ccm mshughulikieni huyoDiamondi msaliti ccm muangalieni
Tatizo unakuja kishabiki sana, tuliza akili unaweza kuelewa, nimesema serikali kama inahitaji kodi ya wasanii basi iweke mazingira mazuri ili wapate hiyo kodi, sasa kama diamond anaingiza kiasi kikubwa zaidi ya kodi anayolipa kwako wewe hauoni tatizo? Hivi mpaka sasa tupo katika zama za kukadiliana kodi? Sasa je kwa msaga sumu na man fongo ambaye hauwezi kumkadilia kipato chake kwa kupitia instagram, unapata wapi kodi yake? Tahadhari; usichangie huku kichwani unamfikilia sana diamond, jaribu kuchangia kwa kufikilia mapato wanayopoteza wasanii na kodi ya serikali kwa kuto ku regulate kazi zao.
Hakuna mkamilifuKweli Tanzania hakuna mzalendo MTU hakukubali mpaka umsaidie
Mfano ni wema+diamond wameisoma no vizuriUlijua utabebwa na hao maccm ! Tuliwasikitikia sana wasanii wakati ule wa kampeni mkatokwa povu kukashifu upinzani mnawabeba watu wasiowathamini mtanyooka endeleeni kuisoma namba ! Kudadadeki !!
Kama anahela nyingi alipe aache manenoDiamond chini ya CCM na serikali yake amejipatia mabilioni. Atashindwa nini kulipa TRA mamilioni kujenga nchi yake kizalendo? Nani ajenge nchi kama si mimi, wewe na yeye?
Aliahidiwa kufanya biashara bureHuyo hata akifilisiwa sawa tu maana ndie aliekuwa muvaa manguo yakijani nakuimba mchana kutwa akiipigia debe ccm. Halafu kuisu kodi azodaiwa msibishe maana baada uchaguzi huu tumemshuhudia huyu jamaa akiwa tajili gafla kwahiyo wao cccm wanaju walimlipa pesa nyingisana
Unfulfilled promisesAlipe tu kodi yetu. Mbona wengine wanalipa?!
Unajua watu wajinga sana. Ukitaka kuwa mjanja usionyeshe mali zako waziwazi duniani kote kwa watoza koda. Ndiyo maana watu hata kama wana pesa wanachukua mkopo bank ili kuifumbasha serikali lakini vijana wetu malimbukeni wanaonyesha nini wanacho.Ulijua utabebwa na hao maccm ! Tuliwasikitikia sana wasanii wakati ule wa kampeni mkatokwa povu kukashifu upinzani mnawabeba watu wasiowathamini mtanyooka endeleeni kuisoma namba ! Kudadadeki !!
Kwa kweli CCM ilimlea vizuri sana.Nadhani muda muafaka wa kulipa fadhira.Aache maneno alipe kodi cuz si yeye peke yake tupo wengi tu.Taifa kwanza mambo mengine baadaye.Anakuwa kama alizoea magendo bhana kumbe hamna.Diamond chini ya CCM na serikali yake amejipatia mabilioni. Atashindwa nini kulipa TRA mamilioni kujenga nchi yake kizalendo? Nani ajenge nchi kama si mimi, wewe na yeye?
Team Kiba na Ant-Kijani wamo..yaani asilimia 90 % walio coment hii post dhahiri ni team kiba
na hili ndo tatizo la wabongo wengi baada ya kuwa wazalendo wanaleta ushabiki mbele[emoji57][emoji57]
samahani jamani
imejipost tu
Kwahiyo sera ya chadema ni kutotaka kodi kwa hawa jamaa wanaoingiza mamilioni, tafakari mama analima ndizi mwenyewe ila akipeleka sokoni anadaiwa kodi.Huyo hata akifilisiwa sawa tu maana ndie aliekuwa muvaa manguo yakijani nakuimba mchana kutwa akiipigia debe ccm. Halafu kuisu kodi azodaiwa msibishe maana baada uchaguzi huu tumemshuhudia huyu jamaa akiwa tajili gafla kwahiyo wao cccm wanaju walimlipa pesa nyingisana
Usipoonesha utapataje kiki?Au hujui kuwa kiki ndio mtaji wa msanii?Unajua watu wajinga sana. Ukitaka kuwa mjanja usionyeshe mali zako waziwazi duniani kote kwa watoza koda. Ndiyo maana watu hata kama wana pesa wanachukua mkopo bank ili kuifumbasha serikali lakini vijana wetu malimbukeni wanaonyesha nini wanacho.