banned do
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 574
- 506
Pia wanaompinga ni mapunguani kwa sababu wanashindana na punguani.'Domo' ni punguani, na wote wanao m-support ni mapunguani na majuha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia wanaompinga ni mapunguani kwa sababu wanashindana na punguani.'Domo' ni punguani, na wote wanao m-support ni mapunguani na majuha!
Kama kawaidaKweli Tanzania hakuna mzalendo MTU hakukubali mpaka umsaidie
Unavuna alichopanda.ila kwenye kampeni ajapata pesa kwani.... Naona ktk hizo pesa ndani yake kuna zile za kampeniKweli ccm ni janga mpaka diamond kaanza kuichukia
Kwahyo mkuu unamaanisha angekuwa chadema asingelipa kodi kabisa? Maana sijaelewa.Ulijua utabebwa na hao maccm ! Tuliwasikitikia sana wasanii wakati ule wa kampeni mkatokwa povu kukashifu upinzani mnawabeba watu wasiowathamini mtanyooka endeleeni kuisoma namba ! Kudadadeki !!