Pale kodi inapokuwa kubwa sana ,hakuna uzalendo huo asekulipa kodi ni kielelezo cha uzalendo!!
kila mzalendo kwa nchi yake hawezi kukwepa kodi!!
watanzania wenzagu tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu!!!
awamu hii tunaona matunda ya kodi zetu!!!
tulipe kodi bila kinyongo!!
Ma cccm yenyewe yana roho za kutu utadhani genge la wachawi walifura kwa wivu!!!Ulijua utabebwa na hao maccm ! Tuliwasikitikia sana wasanii wakati ule wa kampeni mkatokwa povu kukashifu upinzani mnawabeba watu wasiowathamini mtanyooka endeleeni kuisoma namba ! Kudadadeki !!
Wivu huleta chuki.Kama anadaiwa, alipe tu.
Kwahiyochadema wangechukua nchi wao wangekuwa wanawasamehe na kuwalinda wakwepa kodi!!! Nyie mngeiendeshaje nchiUlijua utabebwa na hao maccm ! Tuliwasikitikia sana wasanii wakati ule wa kampeni mkatokwa povu kukashifu upinzani mnawabeba watu wasiowathamini mtanyooka endeleeni kuisoma namba ! Kudadadeki !!
JIZZE kaongea fact ila diamond amefeli katika kushukuru "ndio maana sikuja kupiga kampeni" 1.majimbo yote aliyoenda kupiga kampeni ilikuwa ni kwa ajili ya wabunge wa CCM japo kuna mashabiki wake kwenye hayo majimbo wenye utashi na vyama vingine
2. Kati ya wabunge wote aliowapigia kampeni about 200 ni yupi alisimama akatetea muziki.
Diamond jitafakari leo watu wanakupambanisha na KIBA na HARMORAPA sio kwa sababu hawa watu wanajua bali ni sababu ya MIZINGUO yako.
Mimi nionavyo Diamond kusema ndiyo maana hakwenda kupiga kampeni kamshukuru Professor Jay vizuri tu.JIZZE kaongea fact ila diamond amefeli katika kushukuru "ndio maana sikuja kupiga kampeni" 1.majimbo yote aliyoenda kupiga kampeni ilikuwa ni kwa ajili ya wabunge wa CCM japo kuna mashabiki wake kwenye hayo majimbo wenye utashi na vyama vingine
2. Kati ya wabunge wote aliowapigia kampeni about 200 ni yupi alisimama akatetea muziki.
Diamond jitafakari leo watu wanakupambanisha na KIBA na HARMORAPA sio kwa sababu hawa watu wanajua bali ni sababu ya MIZINGUO yako.
Wivu ni kidonda ukishiriki utakondaHahaha anakurupuka sana si amwambie bashite amtete si anajinadi anapesa nyingi hazina idadi akalipe sasa fyuu