Mlipa kodi mzuri anamtetea mbunge wa chadema, nyambafu umeshikwa pabaya leoNi mlipa kodi mzuri tu.
Watayamaliza haya ni mpito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ally hana hata guta mkuuTRA wanataka kumkomoa
Vipi na Ally kaambiwa ngapi?
20millions utasikia 200millionsApunguze kuongeza sifuri
Sasa huyu Aliahidiwa kufanya biashara bure ndio maana deni limekuwa kubwa bila yeye kujuakulipa kodi ni wajibu wa kila mtu nashangaa watu wameacha kujadili juu ya kodi wanajadili kama kwamba kuna watu wanastahili kulipa kodi na wengine hawastahili
CCM imemtupa Kinana unashangaa huyu ?Kweli ccm ni janga mpaka diamond kaanza kuichukia
Mlipa kodi mzuri anamtetea mbunge wa chadema, nyambafu umeshikwa pabaya leo
Mkuu nyaka uko sahihi,inashauriwa kusoma uzi kwa umakini kabla ya Ku comment naona jamaa amekurupuka ameishia kuandika utumboMimi nionavyo Diamond kusema ndiyo maana hakwenda kupiga kampeni kamshukuru Professor Jay vizuri tu.
Katika wimbo wa Kibabe wa Professor Jay moja ya mistari yake kazungumzia jinsi wasanii wakiwemo wanamuziki wenzake walivyojazana jimboni mwake kipindi cha kampeni wakitumiwa na chama tawala ili kumwangusha.
Kwa mantiki hiyo Diamond kusema ndiyo maana hakwenda jimboni mwake Professor Jay KUPIGA kampeni kamaanisha hakutaka kutumika jimboni kupiga kampeni za kumwangusha kama walivyofanya wasanii wengine.
Pengine alitakiwa aende AKAMPIGIE kampeni lakini yawezekana hofu ya kukosa maslahi binafsi kutoka chama tawala ilimpelekea kushindwa kufanya hivyo. Hayo ni mawazo yangu.
Acha aisome namba tuuuKweli ccm ni janga mpaka diamond kaanza kuichukia