Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Hapo inabidi atumie ile mbinu ya 50 Cent kwa kusema kwamba amefilisika then kodi inafutwa... Easy
 
ule mkataba wa diamond na voda TRA walichukua ngapi?
 
Tusipojifunza uzalendo wa kulipa kodi tujiandae kuoana wanaume kwa wanaume ili tufaidi kodi za wazungu tunazozipokea kama misaada
 
kulipa kodi ni wajibu wa kila mtu nashangaa watu wameacha kujadili juu ya kodi wanajadili kama kwamba kuna watu wanastahili kulipa kodi na wengine hawastahili
Sasa huyu Aliahidiwa kufanya biashara bure ndio maana deni limekuwa kubwa bila yeye kujua
 
" Shamba likiwa na bangi ni lako , likiwa ma dhahabu ni la serikali " Ha! Ha! Haaaa!!!!
 
Akalipe tu mbona sisi tunalipa tena kwa mwez alipe billion 1 amevuna pesa nying ktk kampen
 
Kawaponda bongo movie jnsi walivyodai haki zao .....wametumia njia ya kimhemko zaidi hahaha Safi prof jizo

Ova
 
Tena ilitakiwa apewe na adhabu maana no wajibu wake kuwasilisha kodi kabla ya kufuatwa
 
Kila mtu atabeba msalaba wake aache kulia lia....wakati ule tunamwambia hao sio watu wanakutumia alafu wanakutupa alituona wajinga na wimbo ya kejeli akatuimbia.

Sasa aende kwa Bashite akamsaidie ebooooo
 
Mimi nionavyo Diamond kusema ndiyo maana hakwenda kupiga kampeni kamshukuru Professor Jay vizuri tu.

Katika wimbo wa Kibabe wa Professor Jay moja ya mistari yake kazungumzia jinsi wasanii wakiwemo wanamuziki wenzake walivyojazana jimboni mwake kipindi cha kampeni wakitumiwa na chama tawala ili kumwangusha.

Kwa mantiki hiyo Diamond kusema ndiyo maana hakwenda jimboni mwake Professor Jay KUPIGA kampeni kamaanisha hakutaka kutumika jimboni kupiga kampeni za kumwangusha kama walivyofanya wasanii wengine.

Pengine alitakiwa aende AKAMPIGIE kampeni lakini yawezekana hofu ya kukosa maslahi binafsi kutoka chama tawala ilimpelekea kushindwa kufanya hivyo. Hayo ni mawazo yangu.
Mkuu nyaka uko sahihi,inashauriwa kusoma uzi kwa umakini kabla ya Ku comment naona jamaa amekurupuka ameishia kuandika utumbo
 
Nmefuatilia post zake tangu Jana pamoja na hoja za mh.Joseph haule
Diamond asilalame sana kana kwamba wasanii wanaonewa kutozwa kodi kwa hoja ya kuwa serikali haijawatengenezea mazingira mazuri(wanavuna wasipopanda),huu mfumo sio kwao tu bali ni katika nyanja mbalimbali,kwa mfano; tunamzungumziaje kijana aliyesomeshwa na baba yake kwa pesa ya tumbaku akajinyima hadi mtoto wake anahitimu chuo serikali haitoi ajira,bado huyo kijana anahangaika kutwa kucha kutafuta ajira Mungu si athumani anafanikiwa kupata ajira japo kwa kusota na hapohapo TRA wanafika kuchukua chao vipi hapo walipanda?? Utaratibu wa serikali yetu uko hvo kama alikua halipi asishtuke sana ila alichopaswa kufanya angesoma sana vitabu vya Robert kayosaki vingemsaidia sana kukwepa kodi aachane na hizo show-off zisizo na msingi
 
Back
Top Bottom