Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

We si umezungumzia mazingira na si aina gani ya kazi, kwani wanamziki si wanafanyaga shoo na zinajulikana wanakusanya kiasi gani? Hao wanamuziki walipe kodi kama wanavyokadiliwa na TRA na kama wanaona wanaonewa waweke wazi jinsi wanavyoingiza vipato vyao ili TRA ikokotoe ushuru kulingana na vipato vyao, mbona huko kwenye instagram tunaona wakitutambishia mikufu za dhahabu zenye thamani zaidi ya mamilion au hizo mikufu ya dhahabu wanaokota? Diamond kazi yake ni muziki na hii hawezi kuepuka kuwa sio ni kazi yake na kila anayefanya kazi kwenye hii nchi lazima achangie kwenye pato la taifa
 
Sasa mpaka hapo wewe hauoni hadara inayopatikana kwa kutosimamia vizuri mapato ya wasanii? Mwalimu anajulikana kipato chake na anajua ni asilimia ngapi analipa kodi, same time serikali haitojua kipato cha darasa unless a show off kwenye mtandao,
Mkuu hivi hapo kabla ya hizi mashine za EFD ushuru ulikuwa unalipwaje? Sasa kama wenyewe wasanii hawaweki vipato vyao jinsi vinavyopatikana unafikiri TRA wafanyaje?
 
TRA wafuate weledi..mbona wasomi kibao hapo wapo..watulie tu alaf wafanye kazi
 
Hana lolote huyo dai
Ashikuru Mungu prof jay anaelewa anachofanya
 
Zile pesa zilizomwagwa during birthday ya mtoto ndio imeleta taabu.
 
Pole sana watz si mlimchagua mwenyewe huyo bwana mtakomaaa si tupo nchi za watu tunakula raha endeleeni kusema hapa kazi tu
 
Mama sema na mwanao alipe kodi asituletee mchezoo sisi . . . . . .
 
Diamond alishajinajisi kwa kushirikiana na jambazi Bashite.
 
Reactions: BAK
Kumbe yule asiyejaribiwa na mshahara wake wa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka na bado anakwepa kulipa kodi kakosa uzalendo, lakini wakati huo huo TRA hawaoni aibu kwenda kuwakamua kodi walimu na wafanyakazi wengine wenye kipato cha chini.

Kulipa kodi ni uzalendo
 
shamba likiwa na bangi lako,likiwa na dhahabu la serikali.alipe tu.kala hela zao.acha zirudi
 
Hizo kodi 400ml ni kwa ajiri ya muzik au biashara zote anazofanya diamond? Kama ni biashara alipe tu bila kelele asitumie mgongo wa muzik kukwepa kodi
 
Alipe kodi aache unafiki Tanzania kwanza maslahi baadae mbafu sana
 
Analalamika kwa sababu tushow napo tumepungua, twa ndani na nje za nchi heheheh. Lipa kodi kijana
 
Si anasema show moja yake analipwa milioni 100?, tena naona hiyo 400M anayodaiwa ni ndogo kulinganisha na income yakeyake! Alipe tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…