Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Kuhusu diamond kudaiwa na TRA.
View attachment 507134

Post aliyopost diamond leo.

maoni yangu;
Serikali kama inahitaji pesa za wasanii ainabudi kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanyia kazi, diamond kaongea ukweli sema anaongea kwa uoga sana.

Nadhani hili ni swala la elimu ya uraia tu.

Kuna watanzania wanaodhani kuwa kulipa kodi ya mapato serikalini (PAYE) ni asante kwa serikali kwa kuwasadia mazingira mazuri ya kufanyia kazi zao badala ya kujua kuwa hiyo ni sheria ya serikali yoyote duniani. Wanasahau kuwa kuna wafanyakazi wanaolipwa mishahara ya shilingi laki tano tu kwa mwezi na bado wanakatwa PAYE, lakini wanaona msanii anayelipwa mara elfu ya hizo za mfanya kazi hahitajiwi kulipa kodi kwa vile eti serikali haikumsaidia kuzipata.

Tatizo hili limetokana na kuwa chini ya serikali zinazotegemea misaada sana kutoka nje (ambako watu wao wanalipa kodi) na kuwaacha baadhi watanzania hasa wenye vipato visivyo rasmi wakila nchi bila kulipa kodi kwa muda mrefu. Tujifunze kuwa mastaa kama Wesley Snipes walifungwa miaka kadhaa jela kwa kutolipa kodi. Kodi ya mapato inategemea mapato yako siyo jinsi ulivyoyapata; uwe umepata mapato hayo kwa kuuza njugu, kuimba au kufanya kazi ya kuajiriwa, unatakiwa ulipe kodi.

Uganda pale kuna mwimbaji Bobi Wine alilambwa na kodi ya milioni 54 akalipa bila kulalamika.
 
Mh!mh!mh!,mbele kwa mbele acha waisomenamba eeeeeee! Soma namba eeeeee! Mh!mh!mh! Mbele kwa mbelee. Tuliimba na tukapata ushindi wa urais na wabunge kwa wimbo huo wala tulikua hatutanii sasa ndo tuna maniisha na yy pia aliimba .tulisema ina wenyewe hahahaaa na yy aliimba vizur kwa akili zake timamu . na alipe tu cc tunajenga nchi bwana hatupend ujinga
 
kwa Mujibu wa Kayombo kwenye EATV na.Clouds. Ni kwamba Dimond aliitwa kwa mazungmzo ya kufahamu vyanzo vyake vya.mapato tu. Makadirio bado hayajafanyika
 
Kabla ya ku commenti ungesoma kwanza komment za wenzako, unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza. Sasa wewe ukisikia wasanii waandaliwe mazingira mazuri ya kazi zao unafikili nimemaanisha watafutiwe show na serikali au? Sasa kama hakuna hata mfumo ambao unaregulate hizi mambo unajuaje kuwa alipe kodi kiasi gani. Nimekwambia kuwa tunahitaji mfumo utakao mwezesha mpaka msaga sumu kilipa kodi poriodi, sasa sijui show off za instagram, kwa hiyo TRA wanaangalia insta then ndio wanaestimade kodi? Hivi nikikuuliza wewe, daimondi anslipa kodi je msaga sumu? Sasa nikikwambia mazingira wezeshi akili yako inakutuma kuwapa shows? Tatizo mnamfikilia sana diamond mdio maana kila mkicoment mala ooh! Cheni mala nyumba douth ni zake mlitaka azifiche?
Kwa kipato Diamond anachoingiza alitakiwa kuwa na watu wa kumuandalia hesabu zake, (kama hafanyi hivyo ana penalty ya kutoku-maintain records). Hawezi kukadiriwa tu bila kuambiwa alete mikataba aliyoingia kwenye deals na show zake mbalimbali unless yeye ni mzembe hatunzi nyaraka wakaamua kutumia indirect methods za kukadiria kodi. Kama anaona ameonewa akate rufaa na sio kulalamika mitandaoni. Mleta mada ulikuwa na point nzuri sana ya serikali kuboresha mazingira ya kazi kwa wasanii ili wakusanye kodi lakini you lost your course ukaanza kupuyanga kwamba Diamond kaonewa, yeye ndio anajua kama kaonewa sio wewe...Kila mtu alipe kodi kutokana na kipato chake
 
Kwa kipato Diamond anachoingiza alitakiwa kuwa na watu wa kumuandalia hesabu zake, (kama hafanyi hivyo ana penalty ya kutoku-maintain records). Hawezi kukadiriwa tu bila kuambiwa alete mikataba aliyoingia kwenye deals na show zake mbalimbali unless yeye ni mzembe hatunzi nyaraka wakaamua kutumia indirect methods za kukadiria kodi. Kama anaona ameonewa akate rufaa na sio kulalamika mitandaoni. Mleta mada ulikuwa na point nzuri sana ya serikali kuboresha mazingira ya kazi kwa wasanii ili wakusanye kodi lakini you lost your course ukaanza kupuyanga kwamba Diamond kaonewa...Kila mtu alipe kodi kutokana na kipato chake
Tuliza akili, leta neno hata moja katika comment zangu zote lilionyesha kuwa diamond kaonewa! Nimekwambia kuwa yawekwe mazingira ambayo yatawezesha hata man fongo alipe kodi kama diaond sasa hapo kwako ina maana diamond kaonewa? Tuliza ubongo basi alafu ukirudi kucoment upunguze upupu. Sasa kwa akili yako haujui hata ni kiasi gani kinapotea kwa kutoweka regulation nzuri kwenye sanaa. Sasa na kesho watamwita msaga sumu atawajibu sijafanya show na hizi chache nilizofanya nimefanya buree. Kwako unanona sawa?
 
Kumbe yule asiyejaribiwa na mshahara wake wa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka na bado anakwepa kulipa kodi kakosa uzalendo, lakini wakati huo huo TRA hawaoni aibu kwenda kuwakamua kodi walimu na wafanyakazi wengine wenye kipato cha chini.
Hivi kama asiyejaribiwa ana biashara zake binafsi nani anaweza kuchunguza kama zinalipiwa kodi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tuliza akili, leta neno hata moja katika comment zangu zote lilionyesha kuwa diamond kaonewa! Nimekwambia kuwa yawekwe mazingira ambayo yatawezesha hata man fongo alipe kodi kama diaond sasa hapo kwako ina maana diamond kaonewa? Tuliza ubongo basi alafu ukirudi kucoment upunguze upupu. Sasa kwa akili yako haujui hata ni kiasi gani kinapotea kwa kutoweka regulation nzuri kwenye sanaa. Sasa na kesho watamwita msaga sumu atawajibu sijafanya show na hizi chache nilizofanya nimefanya buree. Kwako unanona sawa?
"unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza." This implies kwamba Diamond kaonewa
 
Wanaume wa Dar!
Umbea Umbea tu , kamvua kidogo mnaoga maji ya moto
 
Kabla ya ku commenti ungesoma kwanza komment za wenzako, unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza. Sasa wewe ukisikia wasanii waandaliwe mazingira mazuri ya kazi zao unafikili nimemaanisha watafutiwe show na serikali au? Sasa kama hakuna hata mfumo ambao unaregulate hizi mambo unajuaje kuwa alipe kodi kiasi gani. Nimekwambia kuwa tunahitaji mfumo utakao mwezesha mpaka msaga sumu kilipa kodi poriodi, sasa sijui show off za instagram, kwa hiyo TRA wanaangalia insta then ndio wanaestimade kodi? Hivi nikikuuliza wewe, daimondi anslipa kodi je msaga sumu? Sasa nikikwambia mazingira wezeshi akili yako inakutuma kuwapa shows? Tatizo mnamfikilia sana diamond mdio maana kila mkicoment mala ooh! Cheni mala nyumba douth ni zake mlitaka azifiche?
soma nilipobold na kupigia mstari, huyo sio wewe unapuyanga hapo?
 
Mkuu kuna atakayethubutu kumgusa huyu? Alivyo na visasi mtu huyo ataishiwa kutumbuliwa hata kama hana kosa lolote lile bali anatenda kazi yake. Kumbuka anavyomwinda CAG amtumbue kwa sababu tu kafanya kazi yake barabara.

Hivi kama asiyejaribiwa ana biashara zake binafsi nani anaweza kuchunguza kama zinalipiwa kodi?
 
Kwa hiyo we unashauri TRA waache kuchukua tax kutoka kwa wasanii?
Nenda kwenye post #1 utaona ushauli wangu. Hayo mengine ni yako, kazi za wasanii duniani kote ni bidhaa kama sabuni and the likes, kama wanahitaji kodi ya wasanii basi wajitahidi na kuzuia wizi wa kazi za sanaa, kwa sababu mtu akiuza kazi ya wizi hata hiyo kodi serikali haipati, hii Tanzania unakutana na mtu ana ki computer kaliakoo ana burn nyimbo hadi muvie kama ni biashara halali, tunapoongelea mazingira mazuri ni pamoja na hizo raw enforcements, mbona bidhaa zingine za magendo zinafanywa kwa kificho kasoro bidhaa za sanaa tu?
 
Nimeambatanisha na post! Jaribu kuelewa "tukitaka tuombe rifti kwenye boti lake anatubania, tukiaogelea tukivua vidagaa anataka tugawane" ni kweli inatakiwa kila mtu alipe kodi lakini kwa kutotambua au kutoweka mazingira mazuri serikali inapoteza pesa nyingi kupitia wasanii na wasanii nao wanaishia kuwa masikini ninaamini wasanii wa bongo wanaona aibu saba wakikutana na wasanii wa jirani tu. Mbona wawekezaji wengine wanawekewa sheria na sera ni kwa nini kwenye sanaa ikawa hivi? Ni rahisi serikali kujua wafanya biashara wanaingiza kipato kiasi gani lakini ukiwauliza sanaa imeingiza kipato kiasi gani, watapata kigugumizi.
angalia tu hata bajeti ya wizara husika ni kichekesho
we have long way to go
 
Back
Top Bottom