Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,141
- 3,838
We si umezungumzia mazingira na si aina gani ya kazi, kwani wanamziki si wanafanyaga shoo na zinajulikana wanakusanya kiasi gani? Hao wanamuziki walipe kodi kama wanavyokadiliwa na TRA na kama wanaona wanaonewa waweke wazi jinsi wanavyoingiza vipato vyao ili TRA ikokotoe ushuru kulingana na vipato vyao, mbona huko kwenye instagram tunaona wakitutambishia mikufu za dhahabu zenye thamani zaidi ya mamilion au hizo mikufu ya dhahabu wanaokota? Diamond kazi yake ni muziki na hii hawezi kuepuka kuwa sio ni kazi yake na kila anayefanya kazi kwenye hii nchi lazima achangie kwenye pato la taifaHaujaeleza ni kodi gani unayolipa! Anzia hapo kwanza, kama ni mfanya kazi inajulikana unalipwa sh ngapi na unakatwa % ngapi, kama ni mfanya biashara ndio maan kuna EFD Machines nad the likes. Sasa niambie man fongo au sholo mwamba inatakiwa alipe tsh ngapi? Kumbuka anaingiza kipato!