Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

"unaambiwa dai amekadiliwa tu kodi, hakuna records za mapato yake anayoingiza." This implies kwamba Diamond kaonewa
Yes! Nimemaanisha inawezekana diamond anaweza kuwa kalipa kodi ndogo kuliko kiasi anachoingiza, hii pia haiko sawa.. au anaweza kuwa kalipa kiasi kikubwa kuliko anachoingiza, na hii pia haiko poa. All in all hope ninaeleweka, nimejaribu kueleza kuwa tunahitaji mfumo ambao kila anayenufaika na kazi ya sanaa alipe kodi, jua kuna producers, video directors na managements, sasa nikiongelea sijui akili inaenda wapi, ninapenda sana wasanii wengine walipe hizo elf 50 lakini nauliza kama ukimuuliza man fongo mwaka huu umefanya show ngapi akakujibu tatu za charity utambishia, angalau diamond kaweka wazi hadi dau lake la kila show.
 
soma nilipobold na kupigia mstari, huyo sio wewe unapuyanga hapo?

Labda nikuulize swali, wasanii wanalalamika kuwa hakuna regulation za statistic za watumiaji wa caller tunes kwenye mitandao ya simu, yaani unaambiwa tu kuwa nyimbo yako wanatumia watu 10,0000/= so mwisho wa mwezi unaenda kuchukua pesa, ikumbukwe users wanakatwa tsh 300 kwa mwezi, wasanii wanataka regulations kama hizi zisimamiwe na mtu wa kati ambaye ni serikali na taasisi zake, Tanzania ina users 20mil wa simu, hili suala lingekuwa na uhalisia diamond au alikiba wengekuwa na users 1mil kati ya hao 20mil hata kama angelipwa tsh80 katika hiyo 300 hapo ndio ungejua wanapotajirikia wasanii wa ug na nigeria ni wapi.. hawa wasanii wana hasira haswa wakikutana na wenzao huko.
 
Suala la kodi liweke kama faida za kulinda kazi za wasanii, kulipa lazima walipe. Kweli, kazi za wasanii zinatakiwa kulindwa lakini hii sio kazi ya serikali pekee na wasanii pia wanatakiwa kuonyesha utayari wao, unalinda vipi kazi ya mtu anayegawa kazi yake mwenyewe bila kulipwa chochote?
 
Tena wangesema anadaiwa bilion 1 sawa tu hiki kitoto kisaliti hajui ccm hawana rafiki
 
Mkuu kuna atakayethubutu kumgusa huyu? Alivyo na visasi mtu huyo ataishiwa kutumbuliwa hata kama hana kosa lolote lile bali anatenda kazi yake. Kumbuka anavyomwinda CAG amtumbue kwa sababu tu kafanya kazi yake barabara.
Tupende tusipende TRA wapo sawa kumpatia hii kadirio la mil 400. Kama tunataka kumtetea tusiweke utetezi usiokuwa na uzito. Hapo juu umesema mshahara mil 400, umeshasema mshahara hivyo TRA wameshachukua chao kiitwacho PAYE. Hii mikataba wanaitangaza maredioni wanamkaribisha Zakayo ofisini. Tulitakiwa tuwasifu TRA badala ya kuleta U CCM na UKAWA hapa.
 
yaani asilimia 90 % walio coment hii post dhahiri ni team kiba

na hili ndo tatizo la wabongo wengi baada ya kuwa wazalendo wanaleta ushabiki mbele[emoji57][emoji57]

samahani jamani

imejipost tu


Mkuu una maamuzi ya haraka na wepesi wa kasi ya Magufuli,

Yaani post 17 tu umesharuka na takwimu (90%)

Imejiposti tu shaka ondoa
 
Ulijua utabebwa na hao maccm ! Tuliwasikitikia sana wasanii wakati ule wa kampeni mkatokwa povu kukashifu upinzani mnawabeba watu wasiowathamini mtanyooka endeleeni kuisoma namba ! Kudadadeki !!


Unadhani mpaka hapo hawajambeba, tena wamemsitiri kweli, wangekuwa wameshamteka au nyumba ya Madale ingekuwa mnadani saa hizi na mashuka ya Zari yametupwa barabarani.

Usifanye mchezo na Serikali ya visasi yenye wepesi wa maamuzi kwa wapinzani.

Ila kodi ni lazima si swala la kusioma namba, akalipe kama tu
 
Huwezi kupanda mahindi utegemee kuvunxa bangi! Diamond alimpigia kampeni Pogba sasa mwache avune alichokipanda ili siku nyingine atafakar kabla ya kutenda
 
Siamini
 
Siamini
 

Uko sawa mkuu alipe kodi tu aache kulialia tujenge uchumi wetu. Wanatumia hela hadi kufuru walipe kodi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…