Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Alisema ndani ya nchi anafanya show 1 kwa million 100, sasa kama hesabu za TRA zinaendana na huu muamala wake alipe iyo pesa.
 
Bro si ulikua unafagilia ccm nambari wanii hamnaa namnaa
 
Chibu naemfahamu mimi sio wa kulipa madeni kabisa.nakumbuka aliuziwaga gari ile landcruiser,akalipa nusu bei.jamani ile iliobaki alidaiwa mwaka mzima anazungusha kulipa mpaka mwenye gari akamdanganya kuna kifaa inatakiwa ifungwe.alipoipeleka gereji,mwenye gari akaichukua ndo ikauzwa juu kwa juu.hata hiyo bmw anayotumia amelipa nusu tu mwenye gari kadai mpaka kafa.sijui kama atalipa hlo deni la ml. 400!
 
Ni mkongo aliyeandika hii article? Mbona kiswahili kibovu hivi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…