Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Alisema ndani ya nchi anafanya show 1 kwa million 100, sasa kama hesabu za TRA zinaendana na huu muamala wake alipe iyo pesa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mkongo aliyeandika hii article? Mbona kiswahili kibovu hivi ?View attachment 508381
Ni miezi mbili tu iliyopita ambapo Diamond alienda kwa makao makuu ya Mamlaka ya Mapato TRA baada ya kuitwa ili alelezee namna anavyopata mapato yake na namna gani analipa kodi ya serikali.
Diamond alipewa cheti na TRA kama dhibitisho kuwa analipa kodi ya serikali kama inavyohitajika na sheria ya Tanzania.
View attachment 508380
Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia hata hivyo aliluambia Bunge kuwa Diamond anadaiwa na Mamlaka ya Mapato zaidi ya shilingi milioni 400.
Mheshimiwa Mtulia alidai kuwa hit maker huyo wa ‘Marry You’ alimwambia kwa sasa anadaiwa kodi ya zaidi ya shilingi milioni 400 na TRA.
Mbunge huyo aliyasema hayo wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ulipokuwa ukijadiliwa bungeni.
may be katafsiriNi mkongo aliyeandika hii article? Mbona kiswahili kibovu hivi ?