Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

Hahaaa modi wacha kulia lia kwa perfume za bei hiyo na mziki wako hizo show unazopiga na miradi mingine hahaha toa pesa iyo mbona kodi kidogo kabisa mtu anauza juice tu kwenye kijisehemu analetewa kodi laki nne ijekua wewe
 
Unaposema kazi zinaibiwa na mablog mitandaoni sasa serikali ifanyaje kuzuia hilo ikiwa mbloga wanazoyatumia ni za nje na wala hazijaandikishwa hapa nyumbani. Nyinyi mnao wajuwa hao maharamia wa sanaa ndio muwataje ili washugukikiwe.
 

Nimeambatanisha na post! Jaribu kuelewa "tukitaka tuombe rifti kwenye boti lake anatubania, tukiaogelea tukivua vidagaa anataka tugawane" ni kweli inatakiwa kila mtu alipe kodi lakini kwa kutotambua au kutoweka mazingira mazuri serikali inapoteza pesa nyingi kupitia wasanii na wasanii nao wanaishia kuwa masikini ninaamini wasanii wa bongo wanaona aibu saba wakikutana na wasanii wa jirani tu. Mbona wawekezaji wengine wanawekewa sheria na sera ni kwa nini kwenye sanaa ikawa hivi? Ni rahisi serikali kujua wafanya biashara wanaingiza kipato kiasi gani lakini ukiwauliza sanaa imeingiza kipato kiasi gani, watapata kigugumizi.
 
Mimi ninachojiuliza ni kwanini awe yeye tu wakati tuna wasanii wengi tu ?


1.Kuhusu mirahaba wao wenyewe ndo wanakwamisha wameshapewa muswada wanaujadili mpala lini ?


2.Kuhusu kudhulumiwa ringtones ni wao wenyewe ndo wanaoingia makubaliano na makampuni ya simu, sasa kama wewe mwenyewe umeingia makubaliano bogus why unalaumu serikali ?
 
Unaposema kazi zinaibiwa na mablog mitandaoni sasa serikali ifanyaje kuzuia hilo ikiwa mbloga wanayoyatumia ni ya nje na wala hayajaadikishwa hapa nyumbani. Nyinyi mnao wajuwa hao maharamia wa sanaa ndio muwataje ili washugukikiwe.

Unauakika blogs zinazosambaza kazi ni za nje, inshort TCRA wanaweza ku regulate hizi vitu na ukitaka kujua wana regulate vipi, andika habari isiyowafurahisha kama hawajaifilter. Wasanii wameshalalamika sana, wameshakaa sana na mawaziri, wameshaitwa sana ikulu kwa ajili ya haya mambo, labda nikuulize swali!! Tumejua diamond anaingiza kiasi gani na tumemkadilia hiyo pesa yake! Je msaga sumu na man fongo utajua kiasi gani anaingiza bila kuwa na mfumo ambao unasimamia haki ya mapato yake?
 

Kuhusu ringtone ni kweli wao wasanii ndio wanaingia mikataba, i think kwa kila mtu ambaye atatumia caller tune yako unapata kiasi kazaa kwa mwezi, tatizo hakuna any regulation yaani unaambiwa tu kuwa watu elfu ishilini au laki ndio ndio wametumia caller tune yako. Ninapoongelea mkono wa serikali ninamaanisha kuregulate haki za wasanii kama hizo, watu wanakatwa tsh 300/= kwa mwezi na usinambie kuwa hakuna wasanii ambao wanakosa kuwa na watu 500,000/= wenye call tunes ya nyimbo zao. Hata kama msanii ingemfikia tsh 70 tu kwa kila mtumiaji, usione uganda na nigeria wasanii wanatajirika tu ukazani ni coincedence, hakuna deal la mfanya biashara na msanii likawa halina utapeli kama serikali ikajiweka kando.
 

Hakuna tatizo mkuu, mi naona wasanii mwenyewe ndo huwa wanataka nyimbo zao zisambae mitandaoni ili watu wasikie na wafanye show ....ndo maana wengine qanakwambia NISAIDIE KUSHARE
 
Kama TRA wakikutajia Deni lako Jukumu lako sio kutuma Watu wakakusemee Bungeni, unachopaswa kufanya ni ama kulipa deni au kwenda TRA kuji defend

Hela alizomlipa hiyo Mbunge kwenda kumsemea si bora angeanza kupunguza deni?
Point
 


Haya yote unayoongea huyo Diamond kashindwa kumwambia Makonda ambaye ni rafiki yake na pia kama Mtu aliyekaribu na Rais? Diamond akilia kwenye hili wakati yupo karibu na vigogo wote basi wasanii wwngine huko Mbeya Mwanza ndo wazimie kabisa!

Ila acha yawapate maana wakati wa kampeni wanasahau kueleza matatizo yao na kuhamia ushabiki ....na sisi wananchi tutawakomesha kwa kudownload bureeee na kutumiana whatsup nyimbo zao....na hao bongo movie ndo kabisaaaaa tutaendelea kuangaliaza nje hadi wajirekebishe na kuwa upande wa wananchi
 
Hakuna tatizo mkuu, mi naona wasanii mwenyewe ndo huwa wanataka nyimbo zao zisambae mitandaoni ili watu wasikie na wafanye show ....ndo maana wengine qanakwambia NISAIDIE KUSHARE
Siamini hivyo mkuu, kwa wasanii wengi haswa wakubwa hawapendi hiyo ndio maana hata cover photo zao wanaweka kabisa nyimbo inapatikana mkito.com au wasafi tu, wakisema nisaidie kushate ujue ni photo au link ili ukaupate kwenye site niliyokusudia all in all, kwa kujua au kutojua serikali inapoteza pato kubwa kwenye music industry kwa sababu ya kuto regulate, leo wamechukua kodi kwa diamond kwa sababu anasign deal kubwa na kwa uwazi je kwa msaga sumu na mani fongo? Wanapataje kodi yao, je wao hawaingizi pesa kupitia mziki?
 
Navyojua ulivyoandika hapo hawezi kuhoji tena, maana hana anachokijua zaidi ya ushabiki maandazi
 

Nini kifanyike kwa nyinyi wasanii kama serikali haitaki kuwasikia kilio chenu ?
 

Sijajua hili suala lina ugumu gani, maybe kama alivyosemaga zito bungeni kuwa kuna vigogo wana nufaika na faida za mitandao ya simu, ili suala lilishajadiliwa bungeni kipindi cha jk lakini likapotezewa i think kuna ugumu zaidi ya tunavyofikilia. Kuhusu suala la wasanii kufanya naamini ni influence ya pesa
 
Diamond anachitakiwa kuwa nacho ni kuwa na mshauri wa kodi. Atamsaidia mengi badala ya kulalamika. Ukijipanga vema kodi inalipika.
Kama hakujipanga kwa hili toka mwanzoni, atapigwa vibaya sana.

Awe na Financial Advicer wa kumuambia jinsi gani ya kumanage pesa zake.
 
Nini kifanyike kwa nyinyi wasanii kama serikali haitaki kuwasikia kilio chenu ?
Mimi sio msanii mkuu, kwa hiki kinachotokea sioni ajabu kwa msanii kulalamika, kama wafanya biashara wanavyofunga biashara zao kwa sababu ya policy za nchi, basi muamimi
Kuwa policy hizo hizo ndio zinaamua destiny ya wasanii pia. Hakuna kitu watakachoamua zaidi ya kusubili serikali ifanye jambo. Ni aibu kuona kila nikimpigia bibi kijijini nasikia caller tune ya cinderella alafu pia nasikia allikiba bado amepanga. Tatizo ni serikali kama serikali haijajitoa kusimamia kazi za serikali. Ni jambo la kawaida kwa Tanzania kusikia gari la promotion tena kampuni kubwa ya mtandao wa simu ipo stendi ya basi inapiga nyimbo ya darasa kwenye promotion tena freely kama kama shabiki wa kawaida anavyopiga gheto, !??? Hauwezi kupiga nyimbo ya mtu kwenye promotion ya biashara bila makubaliano na mwenye nyimbo, uganda wasanii wanatajirika kwa hayo mambo lakini bongo hakuna na hatujali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…