Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema kazi zinaibiwa na mablog mitandaoni sasa serikali ifanyaje kuzuia hilo ikiwa mbloga wanazoyatumia ni za nje na wala hazijaandikishwa hapa nyumbani. Nyinyi mnao wajuwa hao maharamia wa sanaa ndio muwataje ili washugukikiwe.Maybe haujaelewa vizuri, nimesema mazingira ya kazi za wasanii hayajakaa poa. Pirates za kazi za wasanii zimezidi mtaani blogs ambazo zinavujisha kazi za wasanii tena kwa uwazi ni nyingi na hazichukuliwi hatua, hakuna msanii anayelipwa mirahaba kwa kupiga kazi zake kwenye vituo vya radio, sasa unamkadiliaje flani kaingiza kiasi gani wakati njia ambazo zipo legally za kuingizia pesa zake hauzisimamii?
Dawa ya deni ni kulipa na kama hajaridhika anatakiwa kwenda TRA kupata maelezo zaidi kuhusu hilo deni na kukubaliana jinsi ya kulipa.
Swala la kodi halina mjadala maana mfano wafanyakazi wa serikali wanalipa kwa 100% sasa imagine wengine wote wangeweza kulipa 70% tu tungekuwa mbali sana.
Kwa hiyo bado naisisitiza serikali kutafuta njia mbadala ya kumbana kila mtu aweze kulipa kodi halali maana mashine za EFD tayari zimekwa.
Mimi ninachojiuliza ni kwanini awe yeye tu wakati tuna wasanii wengi tu ?Maybe haujaelewa vizuri, nimesema mazingira ya kazi za wasanii hayajakaa poa. Pirates za kazi za wasanii zimezidi mtaani blogs ambazo zinavujisha kazi za wasanii tena kwa uwazi ni nyingi na hazichukuliwi hatua, hakuna msanii anayelipwa mirahaba kwa kupiga kazi zake kwenye vituo vya radio, sasa unamkadiliaje flani kaingiza kiasi gani wakati njia ambazo zipo legally za kuingizia pesa zake hauzisimamii?
Unaposema kazi zinaibiwa na mablog mitandaoni sasa serikali ifanyaje kuzuia hilo ikiwa mbloga wanayoyatumia ni ya nje na wala hayajaadikishwa hapa nyumbani. Nyinyi mnao wajuwa hao maharamia wa sanaa ndio muwataje ili washugukikiwe.
Mimi ninachojiuliza ni kwanini awe yeye tu wakati tuna wasanii wengi tu ?
1.Kuhusu mirahaba wao wenyewe ndo wanakwamisha wameshapewa muswada wanaujadili mpala lini ?
2.Kuhusu kudhulumiwa ringtones ni wao wenyewe ndo wanaoingia makubaliano na makampuni ya simu, sasa kama wewe mwenyewe umeingia makubaliano bogus why unalaumu serikali ?
Bosi! Weka jaribu kuongea kwa mantiki basi, haujui tija ya kuweka mazingira ya mziki kwenye masuala ya finance, its true inawezekana diamond anaingiza kipato kikubwa kuliko hiyo kodi na ni hasara ya kutokufanya kama nilivyoshauri juu, kuna pesa ambayo inapotea kutokana na hizo pirates za kazi za wasanii, mbona serikali isipoweka mazingira mazuri kwa uwekezaji mnalalamika? Kuna tatizo gani kwenye hiyo post?
PointKama TRA wakikutajia Deni lako Jukumu lako sio kutuma Watu wakakusemee Bungeni, unachopaswa kufanya ni ama kulipa deni au kwenda TRA kuji defend
Hela alizomlipa hiyo Mbunge kwenda kumsemea si bora angeanza kupunguza deni?
Kuhusu ringtone ni kweli wao wasanii ndio wanaingia mikataba, i think kwa kila mtu ambaye atatumia caller tune yako unapata kiasi kazaa kwa mwezi, tatizo hakuna any regulation yaani unaambiwa tu kuwa watu elfu ishilini au laki ndio ndio wametumia caller tune yako. Ninapoongelea mkono wa serikali ninamaanisha kuregulate haki za wasanii kama hizo, watu wanakatwa tsh 300/= kwa mwezi na usinambie kuwa hakuna wasanii ambao wanakosa kuwa na watu 500,000/= wenye call tunes ya nyimbo zao. Hata kama msanii ingemfikia tsh 70 tu kwa kila mtumiaji, usione uganda na nigeria wasanii wanatajirika tu ukazani ni coincedence, hakuna deal la mfanya biashara na msanii likawa halina utapeli kama serikali ikajiweka kando.
Siamini hivyo mkuu, kwa wasanii wengi haswa wakubwa hawapendi hiyo ndio maana hata cover photo zao wanaweka kabisa nyimbo inapatikana mkito.com au wasafi tu, wakisema nisaidie kushate ujue ni photo au link ili ukaupate kwenye site niliyokusudia all in all, kwa kujua au kutojua serikali inapoteza pato kubwa kwenye music industry kwa sababu ya kuto regulate, leo wamechukua kodi kwa diamond kwa sababu anasign deal kubwa na kwa uwazi je kwa msaga sumu na mani fongo? Wanapataje kodi yao, je wao hawaingizi pesa kupitia mziki?Hakuna tatizo mkuu, mi naona wasanii mwenyewe ndo huwa wanataka nyimbo zao zisambae mitandaoni ili watu wasikie na wafanye show ....ndo maana wengine qanakwambia NISAIDIE KUSHARE
Navyojua ulivyoandika hapo hawezi kuhoji tena, maana hana anachokijua zaidi ya ushabiki maandaziMaybe haujaelewa vizuri, nimesema mazingira ya kazi za wasanii hayajakaa poa. Pirates za kazi za wasanii zimezidi mtaani blogs ambazo zinavujisha kazi za wasanii tena kwa uwazi ni nyingi na hazichukuliwi hatua, hakuna msanii anayelipwa mirahaba kwa kupiga kazi zake kwenye vituo vya radio, sasa unamkadiliaje flani kaingiza kiasi gani wakati njia ambazo zipo legally za kuingizia pesa zake hauzisimamii?
Siamini hivyo mkuu, kwa wasanii wengi haswa wakubwa hawapendi hiyo ndio maana hata cover photo zao wanaweka kabisa nyimbo inapatikana mkito.com au wasafi tu, wakisema nisaidie kushate ujue ni photo au link ili ukaupate kwenye site niliyokusudia all in all, kwa kujua au kutojua serikali inapoteza pato kubwa kwenye music industry kwa sababu ya kuto regulate, leo wamechukua kodi kwa diamond kwa sababu anasign deal kubwa na kwa uwazi je kwa msaga sumu na mani fongo? Wanapataje kodi yao, je wao hawaingizi pesa kupitia mziki?
Haya yote unayoongea huyo Diamond kashindwa kumwambia Makonda ambaye ni rafiki yake na pia kama Mtu aliyekaribu na Rais? Diamond akilia kwenye hili wakati yupo karibu na vigogo wote basi wasanii wwngine huko Mbeya Mwanza ndo wazimie kabisa!
Ila acha yawapate maana wakati wa kampeni wanasahau kueleza matatizo yao na kuhamia ushabiki ....na sisi wananchi tutawakomesha kwa kudownload bureeee na kutumiana whatsup nyimbo zao....na hao bongo movie ndo kabisaaaaa tutaendelea kuangaliaza nje hadi wajirekebishe na kuwa upande wa wananchi
Kama hakujipanga kwa hili toka mwanzoni, atapigwa vibaya sana.Diamond anachitakiwa kuwa nacho ni kuwa na mshauri wa kodi. Atamsaidia mengi badala ya kulalamika. Ukijipanga vema kodi inalipika.
Mimi sio msanii mkuu, kwa hiki kinachotokea sioni ajabu kwa msanii kulalamika, kama wafanya biashara wanavyofunga biashara zao kwa sababu ya policy za nchi, basi muamimiNini kifanyike kwa nyinyi wasanii kama serikali haitaki kuwasikia kilio chenu ?