Kwa hesabu hiyo hata ingekua chama gani kingemtoza kodi tu, vp mwalimu anayelipwa pesa kiduchu na analipa kodi kubwa! Wakisikia 400m akili zinaruka.
Dah!nimechekaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa wanaona raha kuongeza sifuri sifuri mbele ya wanachokipata.. Majuzi hapa alisema hapigi show ya chini ya Million 100 hapa Tz, pia ana deals za Billions sijui Vodacom mara Tomato Sauce.. Sasa kwa mchanganuo huo kwanini analia lia kutoa hiyo Million 400?? Si kwa mwaka anapiga zaidi ya show 20 hapa ndani ya nchi? Hiyo tayari ni Billion 2 kama kweli alidai analipwa Million 100 kwa show..
Na kuna yule mwingine juzi alisema analipwa Dola 3500 kila mwezi kutoka YouTube, nae ajiandae asije kuanza kulia lia kama boss wake.
BTW hapa ni kazi tu na kampeni mlipiga wenyewe.. Kaziiii tu
Matusi mkuu hayana impact yoyote hususani kutoka kwenye virtual world.Basi akili lazima ikucheze kama msanii, we unaona bongo movie kuwa upande wa ccm hasa Makonda kumewasaidia au ndo wamejiongezea matusi kwa mashabiki na kuwapoteza zaidi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ile nyimbo aliyomsifia Bashite imeingiza pesa kiasi gani huko kwenye Itunes na kwenye web yake??
Unavyokomenti shilikisha na ubongo basi, ukishajiona mfanyakazi ndio unajiona wa kujitolea mfano tu. Nimekwambia mfanya kazi anajulikana analipwa tsh ngapi, asilimia kadhaa itaenda bodi na asilimia kadhaa ni paye. Kama haujaweka mfumo wa kuregulate kazi za wasanii unajuaje msanii kaingiza nini na 18% ni kiasi gani? Au tutaishia kukomaa na diamond, wakina manfongo hawatuhusu? Sasa wewe ukisikia mazingira mazuri akili yako sijui inaenda wapi! Sasa kama mwalimu mazingira yake mabaya ndio iwe halali kwa kada nyingine kuwa mabaya? Kwa taarifa yako dunia nzima kada zinazotumia vipaji na michezo ndio kada zinazoongoza kwa kuingiza pesa, ukiona upo kwenye jamii ya bank teller anaishi vizuri kuliko msanii lazima ujiulize tunakosea wapi.Mazingira ya mfanyakazi anayekatwa kodi kwa lazima kila mwezi aliyaweka nan awali? Kumbuka shule ulisoma mwenywe kwa bidii zako tena kwa kukopa kopa ada na mkopo wa chuo ulikosa lakini ulipoajiriwa tu serikali hao mbio kukufyeka. Kwa hyo haki sawa kwa wote
Acha kulialia Diamond analipwa na Vidacom, DSTV,Cocacola, GSM, , anauza nyimbo wasafi dotcom, anauza perfume moja tu 105,000 , anamiliki nyumba kadhaa bongo na south africa, magari kadhaa, show kadhaa anafanya ndani na nje ya nchi...
Hiyo kodi ni ndogo sana kwa kipato cha diamond.
Kuhusu kutengenezewa mazingira sijui sio tija maana huku mtaani kibanda cha duka unapigwa mikodi kibaooo mara fire, mara kuzoa taka, mara Osha, n.k
Hapo bado hujaja kwa wafanyakazi kodi wanayokatwa utaliaaaa bora huyo Diamond anachezea hata hela kununua cheni ya milioni 100
Ndio tatizo letu, mbaya zaidi msanii analipwa kwenye hizo campaign. Kuna jamaa yangu alikuwa anaponda wasanii wanaofanya kampeni chama tawala, wakati yeye printing company yake aliprint tshirt na banners za mbunge wa CCM. Ukimwuliza anasema anapiga hela tu kura hawapi. Utafikili yeye peke yake ndio anashida na helaMatusi mkuu hayana impact yoyote hususani kutoka kwenye virtual world.
- Hebu jiulize ni mara ngapi watu wamekuwa wakimporomoshea matusi Diamond au Mrisho Mpoto kwa kuunga mkono serikali au kufanya kampeni za CCM ?
- Je, umewahi kuona watu hao hao wakimtukana ALIKIBA au FID Q kwa kufanya mambo hayo hayo ?
In short ni kwamba watukanaji huwa wana chuki tu na mtu fulani wala hata siyo hayo mambo wanayojaribu kutuaminisha na ndio maana SUALA hilo hilo likifanywa na FULANI ni poa ila akifanya mwingine MATUSI Mpango mzima
Huwa zinakuwa ni roho mbaya tu na wivu hususani kama wao hawajapewa lakini wakipewa wao na watu hao hao wanachukua halafu wanatoa vijisababu visivyokuwa na mpango. La msingi ni kufanya unachoona kina manufaa kwako - usisikilize watuNdio tatizo letu, mbaya zaidi msanii analipwa kwenye hizo campaign. Kuna jamaa yangu alikuwa anaponda wasanii wanaofanya kampeni chama tawala, wakati yeye printing company yake aliprint tshirt na banners za mbunge wa CCM. Ukimwuliza anasema anapiga hela tu kura hawapi. Utafikili yeye peke yake ndio anashida na hela
Ndio maana wachezaji wengi karibu wote ulaya na wasanii wana mameneja ni kuajili pia ya kuangalia masuala yao ya kodi. Kwanini mwalimu anayelipwa TZS 300,000 kwa mwezi alipe kodi halafu mtu anayepata pato TZS 10,000,000 kwa masaa chini ya sita asilipe kodi?!!!!!!!!!!Kuhusu diamond kudaiwa na TRA.
View attachment 507134
Post aliyopost diamond leo.
maoni yangu;
Serikali kama inahitaji pesa za wasanii ainabudi kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanyia kazi, diamond kaongea ukweli sema anaongea kwa uoga sana.
Nimesema tunahitaji mfumo ambao utamfanya hadi young killer kulipa kodi, usiweke masiko pamba. Refer post hapo juu kabla ya ku comment. Ni Tanzania tu ndio unakutana balabalani ni gari la PA la airtel linapiga nyimbo ya msanii kwenye promotion yao bila kumlipa msanii, sheria hizi ndio zingefanya kujua mapato halisi ya msanii na kuweka % ya kodi,
Digital platform hakuna sheria na kama ipo aitiliwi mkazo watu wana account youtubes na blogs wanasambaza kazi za wasanii na wanagenerate traffic na wanaingiza pesa.
Sasa serikali inaangaika na diamond tu
Kwa sababu kaamua kuweka biashara ya mziki wazi! Narudia tena je, Man fongo na msaga sumu wanashiliki vipi kulipa kodi kutokana na faida ya mziki wao?
Hiyo mbinge Na diamond nashairi watlrudi darasanKuhusu diamond kudaiwa na TRA.
View attachment 507134
Post aliyopost diamond leo.
maoni yangu;
Serikali kama inahitaji pesa za wasanii ainabudi kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanyia kazi, diamond kaongea ukweli sema anaongea kwa uoga sana.
Umeongea point tupu, huu uzi ungepata comments kama zako ungesaidia sana jamii, tatizo wengi wame comment kishabiki sana.Ni ngumu sana kwa msanii kukimbizana na kila anaitumia kazi zake ili apate . Nchi nyingine zina collective management organizations (CMOs) zenye nguvu ambazo zinasimamia mapato ya wanachama wake. Kwa hapa nyumbani sijui uimara wa COSOTA ila naamini wanajitahidi japokuwa sidhani kama wanamuziki "wakubwa" ni wanachama. Serikali wanaweza kujua sehemu kubwa ya mapato ya wanamuziki kupitia hizi collective management societies, na pia wanamuziki wanaweza pata mapato mengi kupitia hizi hizi CMOs
Soma vizuri ulichoandika kisha ujiulize kati yao na wewe ni yupi wa kurudi darasa la kwanza?Hiyo mbinge Na diamond nashairi watlrudi darasan
Mimi concern yangu sio wasanii wala mengineyo uliyoongelea.. Hayo mengine watajua serikali pamoja na hao wasanii wenyewe. Siwezi kuisemea serikali chochote maana ni kikundi cha watu kilichoapa kutosikiliza mawazo ya watu..Naweza kuwa kweli sijakuelewa, na bahati mbaya bado haunielewi.
Suala la kutakatisha pesa ni jinai, na kwa bahati nzuri ume assume, still unatumia hisia zako ku judge issues, yaani TRA waongeze kodi kwa mtu kufanya jinai? Seriously! Huyo tale angekuwa uraiani anafanya nini? Nimekwambia serikali iweke mfumo ambao unawezesha hata kina man fongo walipe hizo kodi, sio kuchungulia instagram na ku assumes kodi kiasi gani! Nyinyi wenyewe mmesama kiasi hicho mil400 ni ndogo ukilinganisha na mapato yake, sasa wewe haini tatizo? Kwa hiyo unaona sawa kukadilia?
Nimeandika maoni yangu mwisho wa post kuwa serikali inatakiwa kuweka mazingira mazuri kwenye sanaa kama inahitaji kodi ya msanii. Watu wanakuja mala ooh! Ana nyumba south, ana label sijui kanunua cheni mil100 and the likes. Wasanii wana overrate kila kitu walichonacho ili kuongeza thamani yake, dunia nzima ipo hivyo. Wasanii hawajui hata idadi ya watu wanaotumia caller tunes zao, yaani wanaambiwa tu na makampuni kuwa una wateja wangapi!
Ukweli ni kwamba yakisimamiwa vizuri maslahi ya wasanii basi kodi italipwa hadi na kina young dee na kina young killer, ila kwa kumvizia tu msanii na kumkadilia basi tutakuwa tunapata hizo mil500 kwa mwaka mzima