Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

Dawa ya Deni ni kulipa na si Janjajanja,Mnakumbuka kipindi Kiba anadaiwa na Man Walter Mlipiga sana Domo kua alipe, Muhimizeni na Ndugu yenu Dangote alipe, Mbona Walimkomalia Konde boy awalipe na yeye alipe

'Mahakama ya Ardhi'??!! at Mwananyamala???!!!

-Kaveli-
 
Influenza,
haichelewi kuwa kiki ili wamtoe konde kwenye trend ya album yake,sema mchizi corona kwa sasa ndo talk of the town
 
Watu na mbwembweee zinawatokea puani,ofisi katimuliwa na kesi juu. Bado ile anayoishi kwa sasa ,kodi ikiisha muziki mnene utatimka
MTU anunue nyumba Sauzi kisha aje bongo kupanga kweli inawezekana?
 
Dawa ya Deni ni kulipa na si Janjajanja,Mnakumbuka kipindi Kiba anadaiwa na Man Walter Mlipiga sana Domo kua alipe, Muhimizeni na Ndugu yenu Dangote alipe, Mbona Walimkomalia Konde boy awalipe na yeye alipe

Wasanii wa bongo ni full waigizaji tu.

Nimekumbuka Wema Sepetu nyumba ya watu aliifanyia mpk decoration akisema ameinunua mara ghafla kafukuzwa hajalipa kodi.

Jamaa hela sio kama mavi kila mtoto akiamka asubuhi anayo kwny diaper yake.
 
Acha masihala wewe yaani kuwe na nakshi za dhahabu watu waziache?

Hiyo copper tu wazee wakazi wanaweza wakatinga vilevile.

mkuu, mbona nyumba nyingi tu zina fixtures za dhahabu na haziibiwi, niliamini kwa sababu kuna nyumba ulaya stairways zake ni dhahabu na koki za bafuni ni dhahabu pia nyumba ya michael jackson jacuzzi ni la dhahabu lakini mpaka leo vipo na ulinzi ni mdogo so kwanini bongo ishindikane ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ni office na WCB nazani unawajua kwa mauzo ,ile office ilivyozinduliwa picha zililikuwa kibao kwenye mitandao.

Ndio maana nikakwambia,kwa mimi kupitia picha nilizoziona haizidi 100mil.
 
Back
Top Bottom