The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hahaha Ila mondi sidhani Kama anashindwa kulipa hiyo kodi , sema tu mondi na huyo Jamaa wameamua kushindanaWasanii wa bongo ni full waigizaji tu.
Nimekumbuka Wema Sepetu nyumba ya watu aliifanyia mpk decoration akisema ameinunua mara ghafla kafukuzwa hajalipa kodi.
Jamaa hela sio kama mavi kila mtoto akiamka asubuhi anayo kwny diaper yake.