Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

Kwani Hiyo hela kaitaja Nani 337M
Mwenye nyumba ?


Hiyo kaitaja Yeye mwenye nyumba na si mahakama.

We unazani kwa kuwa ela umeitaja wewe mwenye nyumba basi unapewa tu ili mradi?

Kwanza hapo lazima mahakama ijilizishe kweli KAMA Diamond kakosea?

Kama kakosea mahakama lazima waende wakaithaminishe hiyo nyumba na malipo anayotaka kulipwa huyo mwenye nyumba vinaendana ?

kama haviendani,apo mahakama wataithaminisha upya kupitia wataalamu wao na wao ndio watakao amua Diamond alipe kiasi gani.
 
Back
Top Bottom