Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

Mmh!

New York au mjini dar es salaam? Kkoo au mbezi? Maana prime area hamna viwanja kuna nyumba na nyumba za zamani
Hahahah We Mzee Wewe Hapa Hapa Dsm Kkoo tuu pakuanzia
Prime area ni wapi?
 
Kwani Hiyo hela kaitaja Nani 337M
Mwenye nyumba ?


Hiyo kaitaja Yeye mwenye nyumba na si mahakama.

We unazani kwa kuwa ela umeitaja wewe mwenye nyumba basi unapewa tu ili mradi?

Kwanza hapo lazima mahakama ijilizishe kweli KAMA Diamond kakosea?

Kama kakosea mahakama lazima waende wakaithaminishe hiyo nyumba na malipo anayotaka kulipwa huyo mwenye nyumba vinaendana ?

kama haviendani,apo mahakama wataithaminisha upya kupitia wataalamu wao na wao ndio watakao amua Diamond alipe kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…