The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hahaha Ila mondi sidhani Kama anashindwa kulipa hiyo kodi , sema tu mondi na huyo Jamaa wameamua kushindanaWasanii wa bongo ni full waigizaji tu.
Nimekumbuka Wema Sepetu nyumba ya watu aliifanyia mpk decoration akisema ameinunua mara ghafla kafukuzwa hajalipa kodi.
Jamaa hela sio kama mavi kila mtoto akiamka asubuhi anayo kwny diaper yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaelekea mpaka kiwanja kakiharibu.. kachimba mgodi
Yaelekea mpaka kiwanja kakiharibu.. kachimba mgodi
Watu na mbwembweee zinawatokea puani,ofisi katimuliwa na kesi juu. Bado ile anayoishi kwa sasa ,kodi ikiisha muziki mnene utatimka
Diamond ni brand, diamond ndio bosiDiamond anahusishwa vipi na kampuni(wcb), au na yeye anataka kuwa kama raisi mwenzie?
mr everything
MTU anunue nyumba Sauzi kisha aje bongo kupanga kweli inawezekana?
Kwa ajili ya ofisi inawezekana dogo
Makampuni hayajengi hata siku moja yanapanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba anazo sema kaandika majina ya mama yake,so bi mkubwa yupo kila kona(na alipo bi mkubwa,ben ten hakosekani)na kijana damu changa anatafuta uhuru japo kidogo
Kwanza wanakwepa gharama, zingine ni sababu za kitaalamu siwezi kuelezea vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi kwanini ipo hivyo makampuni kutojenga ofisi bali kupanga?Kwa ajili ya ofisi inawezekana dogo
Makampuni hayajengi hata siku moja yanapanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbombo ngafu 😀Yaelekea mpaka kiwanja kakiharibu.. kachimba mgodi
Nazungumzia numbisa aliposema anapoishi kuwa amepanga na anangojea kodi iishe najua company hupangaKwa ajili ya ofisi inawezekana dogo
Makampuni hayajengi hata siku moja yanapanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia numbisa aliposema anapoishi kuwa amepanga na anangojea kodi iishe najua company hupangaKwa ajili ya ofisi inawezekana dogo
Makampuni hayajengi hata siku moja yanapanga tu
Sent using Jamii Forums mobile app