Kakurupuka kujibu bila kuelewa anachojibuNa Sisi vijana kwenye fursa kama hizo, huo tuko radhi tufie hata kifuani.. Huyu jamaa kama hana hta nyumba 2 na tubiashara tuwili tutatu hapa mjini atakua wa ajabu sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia numbisa aliposema anapoishi kuwa amepanga na anangojea kodi iishe najua company hupanga
Duniani ukiwa.na.vijisenti tabu,ukiwa lofa ni tabuMilion 337 kabomoa nyumba nzima?
Ile nyumba yenyewe thamani yake sizani kama inavuka mil 100.
Milion 337 kabomoa nyumba nzima?
Ile nyumba yenyewe thamani yake sizani kama inavuka mil 100.
Hayo madai mengine yapi? Kwa hiyo wewe unayejua sheria kwa mfano ndio ungeambiwa unatakiwa kulipa hela hiyo ungelipa tu eti kwa sababu unadaiwa.Huwezi kuelewa hili kama hujui sheria.
Hapo kuna uharibifu, gharama za kesi, fidia na madai mengine ndiyo inafikia pesa hiyo. Kimsingi, mahakamani unatakiwa kudai kikubwa ili kikipunguzwa kibaki kiasi. Siyo unadai kidogo halafu kikipunguzwa unapata zero
Hayo madai mengine yapi? Kwa hiyo wewe unayejua sheria kwa mfano ndio ungeambiwa unatakiwa kulipa hela hiyo ungelipa tu eti kwa sababu unadaiwa.
Hiyo figure kaitaja yy na si mahakama na hata kama mahakama KAMA ikimkuta na makosa Diamond,wana watu wao kuithaminisha hiyo nyumba na wapo ndio watakao panga alipe kiasi gani.
Kwani nimesema kwamba hajaitaja yeye?
Hao wathaminishaji ni wataalamu. Na watakachopeleka mahakamani ni ushahidi wa vielelezo vya vipimo.
Kisheria, ushauri wa kitaalamu haiuwezi kuilzamisha mahakama katika maamuzi yake.
Mahakama hailazimiki kufuata ushauri wa kitaalamu.
Mhakama ndiyo itakayoamua ni kiasi gani kilipwe na siyo hao unaowasema.
Kama hujui uliza na siyo kujidai unajua sheria kumbe layman tu
umechanganya mafilemiaka michache iliyopita iliekezwa kutoka vyanzo mbalimbali vya habari kwamba ile nyumba thamani yake ni billions na kwamba kuna baadhi ya thamani ni za dhahabu
Sent using Jamii Forums mobile app
WCB wameshakamata fursa kwenye korona. Ni mwendo wa kujitangaza tu kwenye mitandao.Still Corona ndo main news now.
Habari za WCB zisubiri kwanza
Weka Picha ya hiyo nyumbaMwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwezi mmoja.
Mali hiyo yenye thamani ya zaidi ya Sh337 milioni kwa mujibu wa wasanifu majengo waliifanya uchunguzi wa vitu vilivyoharibika vya Maulidi Wandwe ambazo Diamond Plutnumz anatakiwa kulipa.
Diamond amepelekwa Mahakama ya Ardhi Mwananyamala Dar es Salaam jana Jumatatu na mmiliki wa nyumba hiyo Wandwe ambapo msanii huyo hakutokea mahamani huku wakili wake Gerald Hamisi alitoa taarifa kwamba mteja wake yupo nje ya nchi hivyo kutokana na ugonjwa wa Corona atarudi nchini baada ya wiki tatu.
Aidha wakili huyo wa Diamond aliieleza mahakama kuwa kutokana na muda kwenda amefanya mawasiliano na Meneja wake Babu Tale na kwamba watalifanyia kazi suala hilo na kuliweka sawa.
Kwa upande wa wakili wa Wandwe, Felix Buruda ameielezea Mahakama kuwa, wakili wa mlalamikiwaji Diamond maelezo yake ni mbinu ya kupoteza muda wangeweza kuwasiliana naye kwa njia ya barua pepe ili aweke mambo sawa.
Wakili wa Diamond kutokana na kuendelea kuieleza Mahakama kuhusu kesi hiyo, alikuwa anaeleza vitu tofauti na alichoandika kwenye maelezo ya utetezi wa mlalamikiwaji hadi kufikia Hakimu Laurent Wambili ambaye alikuwa muendesha mashitaka kutoa saa mbili pande zote mbili zijadiliane ili Mahakama iweze kuendesha kesi kwa urahisi.
Lakini Wakili wa Diamond aliomba wapewe muda wa siku moja kwani muda huo wa saa hayo anahitajika kwenda kwenye kesi nyingine Mahakama ya Kisutu ambapo
Hakimu Wambili ameahirisha keshi hiyo hadi keshokutwa Jumatano.
"Kesi ya kwanza ilisomwa Septemba 19, 2019, ikaja kusomwa Septemba 24, 2019, ikasomwa Oktoba 24, 2019 Novemba 18 zote mwaka jana, ilisomwa tena Januari 6, ikasomwa Februari 26 na leo Machi 16 mwaka huu," amesema Wandwe.
Kwa upande wa Babu Tale Mwanaspoti limempigia simu juu ya kesi hiyo alijibu kwa ufupi: "Siwezi kuongelea kitu ambacho kipo mahakamani."
Still Corona ndo main news now.
Habari za WCB zisubiri
mkuu umeadimika kule jukwaa la siasa, kulikoni?
Fursa ipi hapo kwenye Corona?WCB wameshakamata fursa kwenye korona. Ni mwendo wa kujitangaza tu kwenye mitandao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Still Corona ndo main news now.
Habari za WCB zisubiri kwanza