Ukishaiacha iende yenyewe inamaanisha hujajipanga kufanya biashara Au huna pesa ya promo.naona yeye na media yake wanatumia nguvu kupush iyo EP yake iende, wenzie wamefanya listening party wakaacha mzingo uende wenyewe ila yeye ni kulazimisha mixer kutumia mpaka mahusiano yake
Kwa siku 3 mkwanja alioingiza unaambiwa si chini ya $ 100,000.00EP iliyo-trend katika nchi 33 worldwide ndani ya siku tatu ndiyo imebuma?
Huko kwenye streamings za digital platforms inazidi kuvunja records kila uchwao, hapo kipimo chako cha kubuma nadhani ni wishful thinking ya ubongo wako na si kitu kingine.
Kuna wasanii wametoa albums last year lakini ki mauzo hazi-click kabisa na bragging za fanatics wao.
Kichwa cha habari tafadhali ili tuielewe ni horodha ya kitu gani na ni ya mwaka gani.
Rayvany, Harmonize, Zuchu Au unataka afungue NGO.Sawa ndiyo ameshatoboa kwa East Africa, lakin awape support watz wenzake nao watoke mbona Nigeria wanabebana sana!!
Nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka wakati zimeshavuka, bila kuwa zimevuka inakuwaje EP iko kwenye trending kwenye takriban nchi 33 worldwide.kafanikiwa nini? hebu sikiliza nyimbo zake zote kwenye iyo EP halafu njoo utuambie hapa nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka, Mimi nafikiri katika nyimbo kidogo iliyoenda ni My number one remix ft Davido ila zaidi ya hapo hamna kitu ila fans wake ndio wanaomjaza kujiona bora
Acha uchawi broHio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Kichwa cha habari tafadhali ili tuielewe ni horodha ya kitu gani na ni ya mwaka gani.
No kakosea, according to google sio wa tatu, ni wa piliHio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone
1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido
Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?
ππππ looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Haya ni maoni yenu au yako?kafanikiwa nini? hebu sikiliza nyimbo zake zote kwenye iyo EP halafu njoo utuambie hapa nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka, Mimi nafikiri katika nyimbo kidogo iliyoenda ni My number one remix ft Davido ila zaidi ya hapo hamna kitu ila fans wake ndio wanaomjaza kujiona bora
it's obvious debe tupu huwa lina kelele kuliko lililo na kitu ndani kwaiyo anachokifanya ni promotion au kuongelea wenzie waliotangulia kutoa albumUkishaiacha iende yenyewe inamaanisha hujajipanga kufanya biashara Au huna pesa ya promo.
Hizo nchi gani madale, mbagara au tandale π€£π€£, ebu kuweni serious nchi 33 unajua unachoongea wewe?Nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka wakati zimeshavuka, bila kuwa zimevuka inakuwaje EP iko kwenye trending kwenye takriban nchi 33 worldwide.
unaonaje?Haya ni maoni yenu au yako?
Kama ni yako unatakiwa kufahamu sikio lako sio la woteunaonaje?
πππππππhizo nchi gani madale, mbagara au tandale π€£π€£, ebu kuweni serious nchi 33 unajua unachoongea wewe?
Mbona naona wewe ndio unatesekaKapanic Watanzania wameitia kwenye Dustbin EP yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan Domokaya ana Kiba's Fever, kamtaja kwenye wimbo kaona haitoshi kamtaja kwenye Media, Msanii namba 3 Africa anaumizwa kichwa na Msanii ambaye hayupo hata top 100 [emoji119]
Unashupaza shingo kumtetea ambaye wengine tunamwona kama upuuzi tu, huo ujasiri wa kusikiliza nyimbo zenye matusi matusi unaupata wapi ukiwa na Wazazi wako hata na Watoto wako, au ndiyo kile kizazi cha digital.com?Yeye anachopinga ni kupambananishwa na wasanii ambao hawapo kwenye level yake mziki wake utakuaje ikiwa anashindanishwa na msanii ambaye huyo msanii hayupo hata kwenye wasanii 100 Bora wa African wakati yeye yupo kwenye top 3 ya wa wasanii Bora wa Africa
Apunguze jazba.
Nimegoogle na 3 bora namuona wiz,burna and Davido.