Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

Diamond Platnumz ahoji kwanini Ali Kiba (mkongwe) hana media yake? Atoa onyo kushindanishwa na wasanii wa Tanzania 'ni wadogo sana kwake'

EP iliyo-trend katika nchi 33 worldwide ndani ya siku tatu ndiyo imebuma?
Huko kwenye streamings za digital platforms inazidi kuvunja records kila uchwao, hapo kipimo chako cha kubuma nadhani ni wishful thinking ya ubongo wako na si kitu kingine.
Kuna wasanii wametoa albums last year lakini ki mauzo hazi-click kabisa na bragging za fanatics wao.
Kwa siku 3 mkwanja alioingiza unaambiwa si chini ya $ 100,000.00

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
kafanikiwa nini? hebu sikiliza nyimbo zake zote kwenye iyo EP halafu njoo utuambie hapa nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka, Mimi nafikiri katika nyimbo kidogo iliyoenda ni My number one remix ft Davido ila zaidi ya hapo hamna kitu ila fans wake ndio wanaomjaza kujiona bora
Nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka wakati zimeshavuka, bila kuwa zimevuka inakuwaje EP iko kwenye trending kwenye takriban nchi 33 worldwide.
 
Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone

1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido

Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
Acha uchawi bro
IMG_20220315_010747_955.jpg
 
Kichwa cha habari tafadhali ili tuielewe ni horodha ya kitu gani na ni ya mwaka gani.

Hizi list za Africa hazieleweki kila mmoja anajiaandikia tu anavyoona sawa
Ukiangalia list nyingine ya Wasanii wa Africa mzima waliochukua Grammy awards wakiwemo wa Senegalese na Mali wengine
Diamond ni wa 14

Ila list nyingine nayo ya 2021 ni wa 3 sasa hapo wanatuchanganya tufuate ipi?

Mimi sio shabiki wa mmoja mmoja bali wimbo wowote mzuri nasikiliza na hii list nimeipata baada ya kusoma na kupitia tu
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hio namba tatu embu ngoja kwanza tui list tuone

1. Wizkid
2. Burna boy
3. Davido

Alaf tuwaache madogo ambao wamepiga shows o2 arena hadi marekani na wamepiga kolabo kubwa na watu kama wakina ed sheeran na justine bieber madogo hao ni Joe Boy, Fire Boy na wapopo wengine wengine kibao wakina simi nani na nani?

😂😂😂😂 looh hio top 3 nadhani ndo ile kitu wabongo wanasema "ametupiga na kitu kizito".
No kakosea, according to google sio wa tatu, ni wa pili

IMG_20220315_014100.jpg

Mwaka jana ndo alikua wa 3
IMG_20220315_014041.jpg

Usilete mawazo yako lete data mkuu, haukuona show ya mondi oscar? Ifike mahala tukubali huyu jamaa ni kiumbe mwingine
 
kafanikiwa nini? hebu sikiliza nyimbo zake zote kwenye iyo EP halafu njoo utuambie hapa nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka, Mimi nafikiri katika nyimbo kidogo iliyoenda ni My number one remix ft Davido ila zaidi ya hapo hamna kitu ila fans wake ndio wanaomjaza kujiona bora
Haya ni maoni yenu au yako?
 
Ukishaiacha iende yenyewe inamaanisha hujajipanga kufanya biashara Au huna pesa ya promo.
it's obvious debe tupu huwa lina kelele kuliko lililo na kitu ndani kwaiyo anachokifanya ni promotion au kuongelea wenzie waliotangulia kutoa album
 
Nyimbo gani itaenda kuvuka mipaka wakati zimeshavuka, bila kuwa zimevuka inakuwaje EP iko kwenye trending kwenye takriban nchi 33 worldwide.
Hizo nchi gani madale, mbagara au tandale 🤣🤣, ebu kuweni serious nchi 33 unajua unachoongea wewe?
 
hizo nchi gani madale, mbagara au tandale 🤣🤣, ebu kuweni serious nchi 33 unajua unachoongea wewe?
💉💉💉💉💉💉💉
Vumilia dawa iendelee kuingia japo inauma, you'll get healed in due time.
 
Kapanic Watanzania wameitia kwenye Dustbin EP yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaan Domokaya ana Kiba's Fever, kamtaja kwenye wimbo kaona haitoshi kamtaja kwenye Media, Msanii namba 3 Africa anaumizwa kichwa na Msanii ambaye hayupo hata top 100 [emoji119]
 
Mbona naona wewe ndio unateseka
 
Yeye anachopinga ni kupambananishwa na wasanii ambao hawapo kwenye level yake mziki wake utakuaje ikiwa anashindanishwa na msanii ambaye huyo msanii hayupo hata kwenye wasanii 100 Bora wa African wakati yeye yupo kwenye top 3 ya wa wasanii Bora wa Africa
Unashupaza shingo kumtetea ambaye wengine tunamwona kama upuuzi tu, huo ujasiri wa kusikiliza nyimbo zenye matusi matusi unaupata wapi ukiwa na Wazazi wako hata na Watoto wako, au ndiyo kile kizazi cha digital.com?
 
Back
Top Bottom