Hulda-Tamarri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 1,412
- 1,669
Hata wakiamua hawawezi kiba siyo mtu mzuri hahahaaaa upepo mbaya ule
Tell thèm sir... Since hawachagui pakunya wanacheza ngoma za kiba had leo anasastain kila ngoma wanaponda hahahahahaaaaaNipo hapa.....
Hiyo nyimbo lazima itambe, wanaoponda unreasonably nawaomba waihifadhi hii comment yangu for future use!!
Tell thèm sir... Since hawachagui pakunya wanacheza ngoma za kiba had leo anasastain kila ngoma wanaponda hahahahahaaaaa
Waungwana si muwaachie wenye kazi zao TRA kwani ulikuwa mkataba wa siri kwamba nyie ndio mmeugundua? mbona vyombo vya habari viliitwa na yote yame anikwa nini tatizo lenu? mna fikia hadi kutoa maelekezo ya mgawanyiko wa makato dah!!.Tusichanganye mambo! Wa makontena watajibu kivyao, na huyu endapo hao Voda hawatamkata withholding tax, basi wao (voda) ndo watailipa.
Grow up nyie ndiye mnaofanya huyu kiba hasiendelee, mwambie kiba akaze buti na astop mashindano Ya kijinga.Wanatumia pesa nyingi ili Ali Kiba asiwini life. Lakini King yeye anasoma dua tu.
duh...Wanatumia pesa nyingi ili Ali Kiba asiwini life. Lakini King yeye anasoma dua tu.
bradha..."Nampigia mwanangu, Laty lalaaa"
hahaha huyu MTU mbaaaya sana, hill tangazo tu ila ni tatizo likija lile dude alilovaa kininja? au aliloshika mtutu? alilomshirikisha psquare au neyo? hahahaha kama ninamuona hivii miaka mingi sana ya utawala wake..
Nipo hapa.....
Hiyo nyimbo lazima itambe, wanaoponda unreasonably nawaomba waihifadhi hii comment yangu for future use!!
Tell thèm sir... Since hawachagui pakunya wanacheza ngoma za kiba had leo anasastain kila ngoma wanaponda hahahahahaaaaa
mashabiki wa aina yenu ndo wanaomponza Ali Kiba...Hakuna team diamond ataifagilia hii ngoma waziwazi coz kupondea kila kitu ndo ishakuwa desturi hata kama ni kizuri!
Kuna kaswida yao ya msibani ndugu yao aliimba wasubiri kuomboleza!
Team kiba kama kawaida yenuu
Mkuu vipi hali..........huyu dogo mfanyie mpango mkakati umweke himayaninacho mkubali huyu kijana anabidii katika kutafuta na abweteki ... zari lazima ashikamane tu.. hongera sana diamond
Wewe utakuwa unalipa PAYE wewe..........Mi sio Afisa TRA, Ila kama mzalendo kwa nchi ni wajibu wa kila mtu kulipa kodi iwe PAYE, INCOME tax or whatever... Acha uzuzu dogo
huyo dogo nafanyia kazi .. tatizo lake matangazo sana na mimi sipendi kutangazwa .. athari za kutangazwa unashindwa hata kuiba lohMkuu vipi hali..........huyu dogo mfanyie mpango mkakati umweke himayani
Viva mkuu......huyo dogo nafanyia kazi .. tatizo lake matangazo sana na mimi sipendi kutangazwa .. athari za kutangazwa unashindwa hata kuiba loh
Exactly, almost 500kWewe utakuwa unalipa PAYE wewe..........
Nalipa millioni kadhaa.......na hapo ninakuwa nimekwapa kodi za kutosha sheikh...Exactly, almost 500k