Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

Msanii wa kimataifa Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo Cha habari cha DW Swahili nchini Germany amejibu baadhi ya maswali aliyoulizwa na mwanahabari Moja Kati ya swali ni kuhusu tuhuma ya baadhi ya watu kusema Wasafi ni wanyonyaji.

Diamond amejibu kama ifuatavyo

Nimekuwa nikiwachukua wasanii wachanga nakuwaleta Wasafi wakiwa hawana majina na kuwageuza kuwa biashara kwa kuwekeza hela nyingi unakuta natumia mpaka 500M Kwenye uwekezaji kwa msanii mmoja katika kubrand, kumtangaza na kufanya sanaa yake iwe kubwa ndio maana baada ya kumchukua msanii tunamfundisha vitu vingi Kwenye industry ya mziki ambayo alikuwa hajui tunamsaidia kwenye kuimba, kucheza na namna ya kumaintain status yake kwenye mziki ndio maana unakuta kabla ya kumtoa msanii inatuchukua miaka au miezi ili kumfanya awe full package kabla atujamtambulisha kwenye industry.

Industry yetu inazidi kukuwa na baadhi ya mambo watu wanaanza kuyaelewa hasa yanahusu biashara ya mziki tunachofanya sisi Wasafi ndio hata industry ya mziki wa Marekani wanafanya kwenye label nyingi shida ni Moja msanii ukishamfanya kuwa mkubwa na akishaona hela nyingi zinaingia kwenye label anaingia tamaa anatamani hela yote angekuwa anapata yeye ndio maana anaona kama ananyonywa anashindwa kujua hii ni biashara na tuwekeza hela nyingi kwake hakuchangia chochote kipindi tunamkuuza.

So lazima kuwe na return ya kile tulichowekeza mfano mimi sio kwamba hela zote napata pekee yangu lazima niwalipe wakina Sallam, Babu tale na Mkubwa fella ndio biashara ilivyo hauwezi kuondoka kirahisi tu njoo hapa tumalizane wakati pia hii label inalipa kodi na ipo kisheria na inatambulika na mamlaka ya mapato mfano last year tumelipa kodi 100M hivi tukikuachia kirahisi tu nani atalipa kodi? Hivi kuhusu kipaji kingine tutachokileta kwenye label nani atagharamia?

Nini Maoni yako kwenye majibu haya ya Mondi
Simba yupo sahihi asilimia mia. Anayejiona yeye ni brand kwanini aende WCB?
 
jiziii hilo kama yalivyo majizzi mengine, na ndiyo maana wcb imejaa mijizii iliyo kubuhu kama mkubwa fella, salama, diamond, bibi tale n.k…………………...au nipaze sautu ili nyie wake zake domo msikie vizuri?
 
Whatever the amount of money he had invested to them,He should give them 50 of the shares not 40.
Akiulizwa uthibitisho wa hizo anazo-invest kwa mtu ataweza kutoa?

Akiambiwa aweke uthibitisho wa kodi ya 100m kwa mwaka ataweza?

Mfanyakazi wa kipato cha kati tu analipa kodi mpaka 12m kwa mwaka, sasa mtu anayejinasibu kutumia mabilioni kulipa 100m ni utani!

Hivi ni kweli kuwa amebembeleza alipe kidogo kidogo deni la 50m kugomboa nyumba ya madale?
 
Kwa hiyo mnataka Diamond athibitishe ila hamtaki Majani athibitishe kile alicho kiongea?

Unataka uthibitishe huku paragraph lako la mwisho likireflect kwamba unaamini, umbea hivi aweze kumlipia matibabu Hawa India na kumweka zaidi ya mwezi India ashindwe kulipia mil 50,labda kama unataka ligi ya mabishano.

Kawaonyesa Docume za RR aliyo inunua US mkasema fake,TCRA wakatoa kuna documents walionyesha kwenye gazeti la Mwanchi likionesha umiliki wa 45% mkasema uwongo kwa hiyo hata mkionyeshewa hamto amini.

Cha msingi ili ufurahi jamaa hana uwezo huo,yupo yupo hana mkwanja.
 
Akiulizwa uthibitisho wa hizo anazo-invest kwa mtu ataweza kutoa?

Akiambiwa aweke uthibitisho wa kodi ya 100m kwa mwaka ataweza?

Mfanyakazi wa kipato cha kati tu analipa kodi mpaka 12m kwa mwaka, sasa mtu anayejinasibu kutumia mabilioni kulipa 100m ni utani!

Hivi ni kweli kuwa amebembeleza alipe kidogo kidogo deni la 50m kugomboa nyumba ya madale?
Wewe akili yako imekaa kumpinga pinga ataakikoneshea utasema anafanya show off kama mtu ananunua Rolls Royce ambayo inathamani ya 1.5B atashindwa vip nyumba ebu grow up mzee baba
 
Diamond anachoongea ni sahihi kabisa, nasema hivi sababu yamenikuta pia.

Mimi nimeanzisha agency yangu ya consultancy, mpaka nmeanza kuona faida nmechukua zaidi ya miaka 5 kujijenga jina, nmekula hasara za kutosha mpaka sasa niko stable.

Kuna madogo flan walikuja kuomba kujitolea tu, bas kwa kuwaonea huruma nkawapa kazi na nkawa nawalipa kiasi fulani.

Baada ya muda wameizoea kazi, wanakula wanaishi. Wakaona kiasi ambacho mimi naingiza, wakaanza choko choko kuwa ninawanyonya sjui nawapa kazi nyingi mimi sifanye nimekaa tu nakula hela. Wakaanza ujinga wa kutaka tugawane mapato sawa kwa sawa. WalianZa kuskiliza mameno ya watu huko.

Me nkawatimua nkasema kama mnadhan ni rahisi hivo rudini mtaani mkapambane, waliondoka kwa fujo na kebehi.

Wamekaa mtaa umewanyoosha wakarudi kuomba msamaha wako tayari hata kwa nusu ya ile waliokua wanalipwa mwanzo. Nkawatimua

Watu ukiwasaidia anasahau ye katoka wapi, hajui ww umepambana miaka mingapi mpaka uko hapo, ye akifika tu anaangalia mapato nae anaingia tamaa
 
Mondi yuko sahihi 100% kwenye upande wa uwekezaji lakini kuna sehemu ni kama mzani unayumba.

Anaongea mwanzo mwisho kuhusu kutoa mbona hasemi kuhusu kupokea! Hoja zake ni kama amewekeza pesa kubwa halafu uwekezaji haumlipi!

Ni nani asiyejuwa Rayvanny alikuwa ndio msanii anayefanya vizuri kwenye mauzo ya kidigitali, nafikiri Sallam Sk kama sikosei alisema Tetema peke yake imeingiza zaidi ya 200m kule spotify. Achana na Harmonize ambaye kila mmoja anajuwa wakati anatoka WCB alikuwa ni moja ya wasanii wanaopiga pesa ndefu Tz.

Haya aliyosema Mondi kwangu naona kama ni kutafuta huruma ya jamii! Ni bora 10m yako kuliko 50m unayoipata kutoka kwenye 200m yako.
 
Dah! Pole sana mkuu imenigusa Sana ndio maisha yalivyo binadamu siku zote hawatosheki hata ufanyie nini
 
Mondi yuko sahihi 100% kwenye upande wa uwekezaji lakini kuna sehemu ni kama mzani unayumba.

Anaongea mwanzo mwisho kuhusu kutoa mbona hasemi kuhusu kupokea! Hoja zake ni kama amewekeza pesa kubwa halafu uwekezaji haumlipi!

Ni nani asiyejuwa Rayvanny alikuwa ndio msanii anayefanya vizuri kwenye mauzo ya kidigitali, nafikiri Sallam Sk kama sikosei alisema Tetema peke yake imeingiza zaidi ya 200m kule spotify. Achana na Harmonize ambaye kila mmoja anajuwa wakati anatoka WCB alikuwa ni moja ya wasanii wanaopiga pesa ndefu Tz.

Haya aliyosema Mondi kwangu naona kama ni kutafuta huruma ya jamii! Ni bora 10m yako kuliko 50m unayoipata kutoka kwenye 200m yako.
Anachokizungumzia diamond ni uwekezaji aliouweka wewe unachozungumzia ni return Cha kile alichowekeza vipi kuhusu Lavalava je amerudisha kile alichowekezewa na je Nani hapo anapata hasara?
 
Wewe akili yako imekaa kumpinga pinga ataakikoneshea utasema anafanya show off kama mtu ananunua Rolls Royce ambayo inathamani ya 1.5B atashindwa vip nyumba ebu grow up mzee baba
You start grow up mzee baba!

Ni kweli amebembeleza alipe kidogo kidogo mil 5p kugomboa nyumba iliyokopewa na king'asti wa mama'ake?

Ni kweli analipa kodi ya nyumba kama walalahoi siye?

Navy Kenzo, kimya kimya wanakaa kwao ghorofani, Jide, Prof na the like, wamejenga miaka mingi ila kwao, sio kiwanja cha mama, nyumba ya mtoto, inayokadiriwa kuwa na thamani ya 260m akiijenga kwa zaidi ya miaka 2 huku akijitamba ana Bilioni kwenye akaunti.

Eti gari ya 1.5b huku unalipa kodi ya nyumba 1.5m kwa mwezi.

Karanga, pafyumu, kulikoni?
 
Mfano Jay Z husha jiuliza Rocawear ipo wapi,Sean John ya Diddy nayo ipo wapi?

Hivi unajua Jaz Z ana gari la zaidi ya dollar mil 8,lkn 2017 alipanga nyumba akawa na analipa USD 400K? Na hiyo siyo mara moja Jay Z.

Kwa hiyo kwakuwa wewe umepanga ,Diamond kapanga,Jay Z kapanga basi ndio upo sawa na Jay Z,sababu wote mmepanga.

We kwa jinsi ulivyojaza chuki hata uwekewe documents za umiliki wa nyumba za Diamond utasema kafoji?

Vip hao ulio wataja wana documents zipo za kuonyesha hizo nyumba ni zao?Manake kwenye vitu vya Diamond ndivyo unadai uthibitisho ila wengine sawa.

Manake nao wamesema kama anavyo semaga Diamond, ila kwa chuki zako umeamua kuamini Diamond muongo, ila hao wengine wa kweli.
 
Hivi unajua Jaz Z ana gari la zaidi ya dollar mil 8,lkn 2017 alipanga nyumba akawa na analipa USD 400K? Na hiyo siyo mara moja Jay Z.
Mzee, umejisikiliza kweli? Jay Z, Sean Daddy mwaka 2017? Kweli?

Possession ya Jay Z by 2017 ambayo ni legally documented ilikuwa kiasi gani? Sean je?

Kama kuna mission fulani, panga tu huku tukijua unazo milki zako.

Unatoka kukaa nyumba moja, wewe, mkeo na mtoto, dada na mume wake, mama na king'asti wake n.k nyumba moja, unaelekea kupanga huku ukijisifu una bilioni?

Ukuta wa nyumba umedondoka, watu wakafanya hisani kujenga!

Mara ya mwisho kutangaza kodi anayolipa serikalini alisema 40m kwa mwaka, leo 100m kwa mwaka, brand inayo-invest 500m kwa mtu mmoja?

Ukwasi wa watu mashuhuri, usio na mawaa, uko known kwa ulipaji wao wa kodi, mali halali wanazomiliki, kipato kwa tukio, mwezi au hata mwaka!

Walionunua hayo mavitu, makers wanayo list, jamaa yupo? Alinunua wapi kama kweli ni lake?

Au ndo mambo ya Refurbished Iphone?

Huyo Jay Z, Sean, MJ, R.Kelly, 50cent, na the like, wote vipato vyao viko hadharani na hata jinsi wanavyopata, vipi kuhusu Domo?
 
"Ni kweli analipa kodi ya nyumba kama walalahoi siye?"

Sasa unakubali nini na unakataa nini,ata unavyo viandika sizani kama unavikumbuka, kumbe unaweza ukawa na hela na still ukaamua kupanga.

"Navy Kenzo, kimya kimya wanakaa kwao ghorofani, Jide, Prof na the like, wamejenga miaka mingi ila kwao"

Vipi hawa☝️☝️ waliweka documents na kuthibitisha hizo mali ni zao?

Ikiwa hao TCRA walitoa leseni ya matangazo wakathibitisha Diamond anamiliki 45%,akaweka documents za gari la RR,still bado unakataa ,sasa akiweka documents ya hizo mali zake nyingine UTAKUBALI? Ikiwa hizi mbili tuu umeamua kugo ziamini.
 
Akiulizwa uthibitisho wa hizo anazo-invest kwa mtu ataweza kutoa?

Akiambiwa aweke uthibitisho wa kodi ya 100m kwa mwaka ataweza?

Mfanyakazi wa kipato cha kati tu analipa kodi mpaka 12m kwa mwaka, sasa mtu anayejinasibu kutumia mabilioni kulipa 100m ni utani!

Hivi ni kweli kuwa amebembeleza alipe kidogo kidogo deni la 50m kugomboa nyumba ya madale?
Ameutoa na sio mara moja.halafu sio 100, ni 1b
 
Mikataba inautapeli mwingi, na asilimia kubwa wanao andaa mikataba ni matapeli tu Ili wajue namna ya kukutapeli pindi utapositisha mkataba
 
Back
Top Bottom