Diamond Platnumz: All The Way Up Volume 2 (Awataja Wema Sepetu, Hamisa Mobeto & Zari)

Kwenye ngoma iyo kuna jina la kiba kama ubalozi wa tembo na ben pol ni balozi pia wa tembo tatzo timu kiba huwa mnapanic mapema sana....na kama kudis kiba ndo anaongoza kumdis mwenzie ila kwa kuwa ww una mahaba na bichwa huwez ona
 
Dini yake ipi inaruhusu UZINZI, ama ana dini ya siri nasi hatuijui, apunguze ubaradhuli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hapo mwisho nimecheka sana.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hapo mwisho nimecheka sana.
Kavu sana huyo jamaa..
Akipewa majibu tutajuaje kuwa amekata huo mzigo wake?
Shubaamita zake..
Hata hivyo, ana hoja.
 
Hahaaaaa safi sana.

Nimeikubali hiyo mistari. Imetulia.

Naona chata ya Raymond hapo.

Nahisi anaweza kuwa alishiriki katika kuiandika.
 
Kavu sana huyo jamaa..
Akipewa majibu tutajuaje kuwa amekata huo mzigo wake?
Shubaamita zake..
Hata hivyo, ana hoja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana uhakika hakuna wa kumpa majibu ndio maana kaubetia 'mzigo'.
 
Hahaaaaa safi sana.

Nimeikubali hiyo mistari. Imetulia.

Naona chata ya Raymond hapo.

Nahisi anaweza kuwa alishiriki katika kuiandika.
Inawezekana lakini Raymond katia uchawi wake humo, manake ngoma imesimama dede kama kengele ya kanisa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana uhakika hakuna wa kumpa majibu ndio maana kaubetia 'mzigo'.
Unajua kwanini mpaka sasa hakuna aliyehangaika kumpa majibu?
Kama hujui sema nkwambie
 
Inawezekana lakini Raymond katia uchawi wake humo, manake ngoma imesimama dede kama kengele ya kanisa

Iko vizuri sana.

Vina vimekaa mahali pake.

Beti ziko vizuri.

Good use of subliminals, metaphors, and the beat is fire!
 
All the way up...

That's my jam right there.

I'm feelin' Remmy Ma when she spits...

I'm that nigga on Viagra dick

That means I'm all the way up

And you can stay up

P.O.s say I can't get high

Hopped in the helicopter Uber and said...

Go all the way up
Go all the way up
 
Domo ana mambo ya kike sana alipoona alikiba katoa nyimbo na barakah akaaachia salome bila kutarajia kasikia video inatoka kaja na skendo nyingine
Yote anafanya ili kiba arudi kkoo domo bwana
HuuMchezooooo.......malizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…