Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Pia hakuna wawakilishi?..ameenda mwenyewe ama?maana ni zaid ya saa 2 sasa tunasubiria haters waone pics.....kuna mtu aliahidi kuny.a posta hadi mwenge...naomba ajitahd kula mda huuuu
kumbe hata mi nikiimba nitapata tuzo, nitajien nyimbo yake nzuri labda siijui? angekua Jay d ningekubali
jide haongelewi kabisa hapa km hajashnda vle.
ingia team anaconda kama unataka kumsikia, hapa ni dangote beby
Hater hawakosi sababu...mpe hongera zake kwa kulitangaza vema jina la nchi yako.
mliosema diamond akishinda awards nje ya nchi mtakunya toka posta mpaka ubungo tunawasubiri camera zipo on.