Diamond Platnumz ana nyota ya kupendwa mashabiki wengi kuliko Clouds Media

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,491
Reaction score
12,560
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.

Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza
 
Kuna mambo yaja stay true my friend
 
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.

Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza
Mmeshaanza kudharau waliowafikisha hapo!

Haya basi sawa. Ategemee "folowa" wake!
 
Naona mnaulazimisha sana ugomvi na clouds, Unafikili diamond anafanya hayo kwa sababu ya ku competit na clouds? Mbona hayo mapokezi alikuwa anayapata tangu enzi hizo shows zake zinaratibiwa na kina ruge? Tatizo la waTanzania kila jambo tunalichukua kwa kushindanisha. Mala ya kwanza ilikuwa ni diamond na alikiba, alikiba kakaa pembeni sasa ni clouds. Bado sijajua wanashindana kwenye nini. Labda mtoa mada utusaidie.
 
Mkuu kijana yupo vizuri na hao clouds wanamchukia sana kwa sasa acha awanyooshe
 
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.

Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza

Kumbe location sumbawanga....tumepata pakuanzia.
 
Back
Top Bottom