LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.
Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza