Mmeshaanza kudharau waliowafikisha hapo!Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.
Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza
Mkuu kijana yupo vizuri na hao clouds wanamchukia sana kwa sasa acha awanyoosheNaona mnaulazimisha sana ugomvi na clouds, Unafikili diamond anafanya hayo kwa sababu ya ku competit na clouds? Mbona hayo mapokezi alikuwa anayapata tangu enzi hizo shows zake zinaratibiwa na kina ruge? Tatizo la waTanzania kila jambo tunalichukua kwa kushindanisha. Mala ya kwanza ilikuwa ni diamond na alikiba, alikiba kakaa pembeni sasa ni clouds. Bado sijajua wanashindana kwenye nini. Labda mtoa mada utusaidie.
Kama hata hujui waliomfikisha hapo Boss wako basi hupaswi si tu kulipwa mshahara wako bali pia humfai kabisa kuwa katika timu yake!Hao waliomfikisha ni akina nani,?
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana.
Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena redio na tv kujitangaza, kijana anawatumia followes wake 5,400,000 instagram kujitangaza na watu wanamsikia na kwenye show anajaza