Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Nani kasema?
 
Hiyo Nyumba haifiki mil 100,nyumba ya mil 60 eti imekuwa 100?Tena hata 60 sidhani Kama inafika.
Sasa matatizo yako wapi?
Ikiwa 2M Au tatu au nne ni zako?
Pili pili iko jikoni Na wewe unawashwa washwa Na nini?
 
Sina wivu lakini hii nyumba mhhh!
 
Dah ivi kwanini hua wasanii hawaoni mbali kha! hua siku zote najiuliza suala la showoff maigambo masifa kwanini linachukua nafasi kubwa saana kwa watanzania? tunawapita mpaka waliozoea maisha hayo Wacongo? natamani siku moja nione DIAMOND spring water/DIAMOND appartment to let/DIAMOND unga safi wa ugali/DIAMOND mango juicy/DIAMOND cargo we transport country wide/DIAMOND petrol stations/DIAMOND full furnished appartments country wide/DIAMOND milk/Chocolate/DIAMOND plastic materials/ etc etc na kwa wengine dah mtu anakua amesecure future yake milele hata siku akiamua acha mziki powah tu!
 

Mkuu Tatizo ni soko letu bado Chang's sana... Ingekuwa Diamond ni msanii wa Nigeria vyote hivo angekuwa kafanya ila kwetu sisi ni bado sana labda bidii yake ndio inambeba anaenda taratibu..

Nigeria kusikia mtu kapewa ubalozi bilioni mbili kwa mwaka ni kawaida mkuu, wadau wao wanawajali sana wasanii na hata shows wanalipwa vizuri mno...
 
afungue macho kwenye fursa zingine za kumwingizia kipato kama biashara, awekeze kwenye vitu ambavyo hata mjukuu atakuja kula na kumkumbuka babu yake.
Hata ardhi nayo itamuongezea kipato na vitukuu vitamkumbuka
kila mtu anawekeza pale anapoamini hapatamuangusha
 
We una nyumba wapi?
 
Thaman yake ni sawa.nyie mmejengaa? hamjui hata thamani za nyumba.rangi tu nikama m 2 kwenda mbele.gata nikama m
1.Vigae nikama m 5.pevin brock m
15.madilisha m 4.bati kama m 2.5. Bado jipsom fance .boma.milango.grill.siment.pvc board.ujenz ni noomaaa.ukitaka kujua ujenz ni nomaaa.jenga uku unaandika kila kitu mpaka nauli ynaweza sema hzo hela ulizitoa
wapi
 
Hapo nskubaliana na wewe amejengabkiswahili sana mimi pamoja na unasikini wangu siwezi kujenga nyumba ivo lazima niwe na eneo la kutosha na dieezi jenga kwenye mbanano.
 
he is doing a great job maaan.....sasa wewe endelea na roho mbaya...mimi huyu dogo simpendi kwa sbabu ya U CCM wake na si vinginevyo
 
LOL yaan bora hayo mawazo yako usingeyaandika, ungeyawaza tu ukabaki nayo mwenyewe
We mwenyewe ni maskini wa fikra, umetudhihirishia. Soma uliachoandika halaf jicheke
 
Kuna wanaume wana wivu humu! Pigeni kazi nyie, wivu tuachieni sie. Kanunueni za kwenu huko masaki osterbay na kwingineko. Yeye kaamua hiyo aliyonunua..thats it! Ni pesa yake na ni chaguo lake pia!
 
Kuna watu jamii forum ni wa ajabu sana kila kitu wanajifanya wajuaji! Kwa mtu ambaye ameshajenga tayari kwa bei ya 100m ni sawa kabisa,tena kapata bei nafuu! Halafu kwanza kwa hizo picha huwezi kujua size ya kiwanja ambacho chenyewe kinaweza kuwa na thamani ya 20-30m!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…