mgogoone
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 2,900
- 2,099
Nani kasema?Actually nishajaribu nikaona hiyo siyo kazi kiukweli kabisa yani, nishajaribu na evans bukuku, nikajaribu na steve nyerere walikuwa na project nikashindwa, na mimi ndiye niliyewalet down wakaachana na hiyo project now ni one of the best structural engineer in tz