Kama ni kweli basi hongera sana kwake.
You can hardly ever go wrong with a real estate investment.
Umenixhekesha sana na hii comment.Hii Nyumba sio mpya, imeshatumika tayari!
Mbona hela kidogo sana hiyo, utafanyia nini milion 100? watu wananunua kiwanja miliion 200.Zinamuwasha 100 nyumba hyo?
mwenzngu hiyo rangi kwa kweli hapana, ya kishamba mmombona inamarangirangi utafikiria nyumba za wapale.
swissme
Wakina jux wana ma hekalu ya maana wametulia, hyu cheusi dawa kanunua nyumba ya kawaida hatupumuiUmasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Yaani unaacha kukunua nyumba kisa ina rangi mbaya? haijashindikana kubadili rangi.mwenzngu hiyo rangi kwa kweli hapana, ya kishamba mmo
KING KIBA AMEZIMIA KWA ZAIDI YA MASAA KUMI BAADA YA KUPATA TAARIFA HIZI ZA MAENDELEO MFALME HALISI WA MUZIKI AFRIKA(DIAMOND PLATNUMZ)Mtoa mada unafanya kazi uliyotumwa vizuri
Jux ni kama Ray tu anaishi kwao bado anafugwa na bi mkubwa wake halafu hakuna artist anaeweza miliki mjengo wa angalau millioni 70 akauchuna no Hawa watu ni show off nyingi hawawezi kuweka siri ya vitu vyaoWakina jux wana ma hekalu ya maana wametulia, hyu cheusi dawa kanunua nyumba ya kawaida hatupumui
wapare wanatengeneza rangi??mbona inamarangirangi utafikiria nyumba za wapale.
swissme
hiyo nyumba utafikiria daycare school 4 kids.wapare wanatengeneza rangi??
diamond punguza mwendo kidogo yule BOYA atajinyonga kwa pressure..Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100 za kitanzania.
Wasanii wengine wanapwa kuekeza kwenye ardhi ili kesho yake wasikose pakujificha.
Hongera sana kijana diamond una umri mdogo lakini unajitambuaView attachment 340753View attachment 340754View attachment 340755View attachment 340756View attachment 340757View attachment 340761