Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Diamond Platnumz anunua nyumba mpya

Kama ni kweli basi hongera sana kwake.

You can hardly ever go wrong with a real estate investment.

Kwa background ya jamaa, shule yake na mafanikio anayoyaonesha nadhani ni wachache humu JF wanaoweza kuwa wamempita.

Dogo anajitahidi sana.
 
Umasikini jamani nikitu hatari sana ktk maisha ya Mwanadam. Hi inadhihirika ukisoma huu uzi. Wakati wanamziki wenye mafanikio wakinunua mahekalu ya hatari kwenye miji mikuu sisi mwanamziki kanunua nyumba kajamba nani inaonekana bönge la tajiri. Kama kidume akanunue nyumba Oysterbay uje ulete uzi hapa. Umasikin hatutaki.
Wakina jux wana ma hekalu ya maana wametulia, hyu cheusi dawa kanunua nyumba ya kawaida hatupumui
 
Diamond! Diamond! Diamond!.... Na 71% yetu.
 
Mtoa mada unafanya kazi uliyotumwa vizuri
KING KIBA AMEZIMIA KWA ZAIDI YA MASAA KUMI BAADA YA KUPATA TAARIFA HIZI ZA MAENDELEO MFALME HALISI WA MUZIKI AFRIKA(DIAMOND PLATNUMZ)
 
Hongera kwa maono ya mbali maana muziki hauna garentii waweza kurudi kwenye umaskini wakati wowote.
 
Wakina jux wana ma hekalu ya maana wametulia, hyu cheusi dawa kanunua nyumba ya kawaida hatupumui
Jux ni kama Ray tu anaishi kwao bado anafugwa na bi mkubwa wake halafu hakuna artist anaeweza miliki mjengo wa angalau millioni 70 akauchuna no Hawa watu ni show off nyingi hawawezi kuweka siri ya vitu vyao
 
Diamond platnumz ameendelea kuonyesha yeye ni msanii wa kuigwa baada ya leo hii kununua nyumba mpya iliyopo dar es salaam maeneo ya salasala mwanzo
Nyumba hiyo imemgharimu diamond zaidi milion 100 za kitanzania.
Wasanii wengine wanapwa kuekeza kwenye ardhi ili kesho yake wasikose pakujificha.
Hongera sana kijana diamond una umri mdogo lakini unajitambuaView attachment 340753View attachment 340754View attachment 340755View attachment 340756View attachment 340757View attachment 340761
diamond punguza mwendo kidogo yule BOYA atajinyonga kwa pressure..
 
Back
Top Bottom