Diamond Platnumz apata shavu kutoka kwenye movie ya Coming 2 America

Woiiiii coming to america 2 imetoka mrejesho wa huo wimbo?misukule bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiki kila kona
Eb tupe habari, Kwahiyo unamaanisha iyo ngona ya mondi haijapigwa kwenye iyo muvi???
 
Woiiiii coming to america 2 imetoka mrejesho wa huo wimbo?misukule bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiki kila kona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Haya chawa wa WCB mkuje huku mtupe mrejesho, movie imeshatoka mbona hatujaona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkome na kilanga na ngeda, pumbavu zenu. Msieeeeew
 
Nmeanglia movie mara mbili sijasikia nyimbo ya mondi
Davido ndo katisha sana na nyimbo yakw assurance
Davido na Burnaboy naona wameplay part kubwa sana.

Yawezekana labda kuna nyimbo nyingi kutoka Afrika zilipendekezwa ikiwemo hiyo Hallelujah ila ndio hivyo Davido na Burnaboy ndio walichaguliwa.
 
Kam ni kwer basi hongera kwake chibu
Wengine wapambane
 
Haya chawa wa WCB mkuje huku mtupe mrejesho, movie imeshatoka mbona hatujaona?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkome na kilanga na ngeda, pumbavu zenu. Msieeeeew
Sio kwamba ulipaswa kuhuzunika kwa huyu kijana mtanzania kutokuwepo humo?
 
Wimbo Hallelujah wa Diamond Platnumz wapata shavu kwenye filamu ya Coming 2 America, itakayo achiwa tarehe 5 March 2021.

Source:SnS.
Dah 🤣🤣 kati ya nyimbo za Mond ambazo sizikubali huo ndo wa kwanza
 
Pia PFunk ataendelea kulipwa miaka yote na Disney
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…