Lugha kama hzi hazina faida yoyote kwenye maisha yako.Fala Sana we jamaa , halafu utakuwa unalipwa kiduchuu
Jambo zuri sana ili kwa wanamziki wetu. Inapendeza. Hope milango itaendelea kufunguka.Watu wengi wajuaji achana nao ila nyimbo ipo kwenye album ya io movie inaitwa RHYTHM OF ZAMUNDA kuna nyimbo zaidi ya kumi na kitu sema watu hawafwatilii na hawaelewi
Hata kama umepewa ajira na huyo jamaa ma story yenu ya kupika na kutia machumvi sijui ndio mnayaita ili kupata kick wengine wetu hatuyapendi embu muwe mnatoa story za maana na zisizokuwa na chumvi la sivyo Mimi mwenyewe nitaendelea kuwapa za uso.Lugha kama hzi hazina faida yoyote kwenye maisha yako.
Mm niliuliza swali tu maana naeleawa huyo mwanamuziki ni mtanzania na angepata nafasi pengine milango ingefunguka kwa vijana wetu wengine.
Ajira zenyewe serikali na nchi tumezidiwa. Vijana wakifanya vizuri kwenye filamu na mziki tunapata ahueni.
Mm nafanya kazi yenye mchango kwa watanzania kwa ujumla na sijaajiriwa na msanii, hata hivyo Maneno kama Kiboya boya, nitawapa za uso inaonyesha namna gani mm na ww hatupaswi kuendelea kujadiliana. Nimeingia sehemu isiyo nistahili nachutama.Hata kama umepewa ajira na huyo jamaa ma story yenu ya kupika na kutia machumvi sijui ndio mnayaita ili kupata kick wengine wetu hatuyapendi embu muwe mnatoa story za maana na zisizokuwa na chumvi la sivyo Mimi mwenyewe nitaendelea kuwapa za uso.
Msiendele kidanganya jamii kiboya boya
Utaendelea kuchutama sana na mapost yako ya kiboyaMm ni mtumishi wa watanzania kwa ujumla na sijaajiriwa na msanii, hata hivyo Maneno kama Kiboya boya, nitawapa za uso inaonyesha namna gani mm na ww hatupaswi kuendelea na huu kujadiliana. Nimeingia sehemu isiyo nistahili nachutama.
🙄 🙄 Aisee!Jana imeangalia hii movie na hamkuwemo wimbo wowote wa Diamond.
Wimbo ulio kuwemo ni wa Davido. Na nikaangalia list ya nyimbo mwishoni mwa movies hakuna mahali Diamond ametajwa.
Msidanganye haukuwemo
Embu fuatilia kama kweli unayemjibu ndo ulidhamiria kumjibu. Inawezekana una haraka sana hivyo unatoa majibu tu. Fuatilia convesation ujiridhishe.Utaendelea kuchutama sana na mapost yako ya kiboya
Yaani uachwe tu udanganye jamii
Sisi twaongelea movie na kilichoonekana na kusikikia. Hiyo album haijasikika popote paleWatu wengi wajuaji achana nao ila nyimbo ipo kwenye album ya io movie inaitwa RHYTHM OF ZAMUNDA kuna nyimbo zaidi ya kumi na kitu sema watu hawafwatilii na hawaelewi
Kwenda huko, usinichoshe hapa. MsieeeewOoh, unamfuatilia ndo maana linakuwa suala binafsi, ingekuwa ni suala la mziki wa TZ kufanya vizuri na si suala binafsi usingekuwa na hisia hizo. Ungesikitika TZ kupoteza hiyo nafasi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh umenifurahisha mno.Yaani mtu ahuzunike kwa kick za kikumaaa kwasababu tu kaifanya mtz, fala Sana we jamaa , halafu utakuwa unalipwa kiduchuu Sana kwa hizo post zako za kichawa
Kwenda huko usinichoshe na porojo zako. Hivyoooooooh.Coming 2 america Muvi ina Album 2 kama soundtrack zake ya kwanza inaitwa Coming 2 America album ambapo "ASSURANCE " Ya Davido imo kama soundtrack na ya pili inaitwa RHYTHIM OF ZAMUNDA ambapo humo ndio utaikuta HALLELUJAH Ya Diamond... cocastic
Kama hapo napo hutaelewa utakua na shida sehemu
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo kibokoKwenda huko usinichoshe na porojo zako. Hivyoooooooh.
Utoto utoto tu.Kwenda huko, usinichoshe hapa. Msieeeew
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaaah mie hawa chawa wa WCB nawapa vipande vyao wahangaike navyo mioyoni mwao.[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo kiboko
Wee msituchoshe hapa, nyimbo yenu haipo ktk movie husika.Utoto utoto tu.
Huu uzi sikupaswa kuchangia. Ni uzi wa vita vya ushabiki.
Nimekuelewa binti. Huna sababu ya kunijibu tena.Wee msituchoshe hapa, nyimbo yenu haipo ktk movie husika.
Make kwa kutulia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani walisema wimbo upo kwenye movie au watazamaji mlikuwa expectations zenu wenyewe?Sisi twaongelea movie na kilichoonekana na kusikikia. Hiyo album haijasikika popote pale
Hv mbona kama nyie haters ndo mnateseka etiWee msituchoshe hapa, nyimbo yenu haipo ktk movie husika.
Make kwa kutulia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haipo popoteKwanza tutulie wote. Wasemaji wakuu Inno na Mzee wa Spartacus wanasemaje kwanza. Labda ipo kwenye post credits ma wengi uwa hatuangalii hadi mwisho.