Diamond platnumz aweka record mpya

Anaconda ilivunja rekod ya kuangaliwa Mara 19Million KWA masaa24...ilivunja rekod ilyokua imashikiliwa na Miley Cyrus We Can't Stop ambayo iliangaliwa mara 15M KWA 24hrs
 
Tulianza na Ally kiba, tukaja na Davido, akatuambia hana shida na kura zetu hana shida na shobo zetu,tumshobokee2 mond mana atatufikisha mbali.
Tukaumbuka mi tanzania.

Tukarudi kwa Ally tena but kwa bahat mbaya tena hakuwa mshindani wa mond tena.
Tukakimbilia kwa wizz kid haijamariza hata miezi tushaanza kumfananisha mond na Nick minaj.

cjui ally anajiakiaje kuona ye afananishwi tena na chibu
 
Ujio mzuri maana hizi ndio nyimbo za soko la Africa na zenye kuleta tuzo.......kwenye je utanipenda ulikuwa ni wimbo mzuri ila unategemea zaidi kuelewa lugha vinginevyo utaona picha picha tu na ndio maana haukuleta tuzo kama Nana na nyinginezo.

Sasa ni muda mwafaka wa kupasua anga zaidi na kuzidi kuleta heshima nyumbani, amezidi kudhihirisha kuwa yeye niiiiiiiii............
 
Hahaha uwiiiiiii
 
Nick is not equal with Diamond
 
Na tayari keshabutua Viewers 525,000 hata saa 48 haijafikisha!
 
Pumba kweli ww
 
We na weeee[emoji57] [emoji57] [emoji57] kutuharibia uzi tuuuu
 
Simbaaaaaaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…