Diamond platnumz aweka record mpya

Alafu kumbukeni hapo team kiba na wema na jokate hawaendi kuview wanaogopa kuongeza viewers, wanasubiri waukute unazurura zurura kule kariakoo ndio waukalie kitako sasa wauchambue, hamshangai why mpaka sasa kwanini hawaanzisha uzi wa kuuponda? Bado hawajauona, Utubu wanataamani kwenda lakini wakikumbuka wataongeza viwers, they be like aaaaaangrrrrr!
 
Acha kumlinganisha minaji na mambo ya kijinga...
 
😀😀😀😀😀
 
heshima ni kitu ya bure mondi umetisha ila kiba anaimba mziki mtamu nmeona mboga saba anaaimba kama hataki all in all mziki wa tz umekuwa sasa
 
Juhudi, maarifa, ubunifu na kujituma. Safi sana Diamond Platinumz
 
We umbwa..Nick Minaj na bongo wp na wp?Kijana kibongo bongo anajitahid pussi wahed manina zako.
 
Sasa naanza kuelewa kwanini mchina alipata "B" ya kiswahili na Mwajuma akapata "F"
 
Inaitwa Anaconda... Bongo bado tunasifia viewers laki mbili...
Wakati wenzetu viewers mpaka 1b wanafikisha, muziki wetu bado sana!!
ni shida sana. viewers laki 2 tunaona dilii, wakaangalie wakina U2,Linkin park, the black Eyed pease n.k wane wana viewers wangapi
 
Team kibaaa utamjuaa tu poleee
 
Kwa mtindo huu AJE itaendelea kutamba sana
Kwanza wimbo wenyewe kama wa p sqwea sioni alichoimba diamond
 
anaconda
 
ni shida sana. viewers laki 2 tunaona dilii, wakaangalie wakina U2,Linkin park, the black Eyed pease n.k wane wana viewers wangapi
tunaongelea africa music industry ambapo kupata viwers youtube sio kitu rahisi
 
Mimi si mpenzi sana wa nyimbo hizi za kidunia, lakini dogo anajitaidi sana. Hongera kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…