Diamond Platnumz badili mwenendo before it’s too late!

Chidi Benzi kila akijaribu kuinuka anaanguka tena,Ray c,Ngwea(R.I.P),Mifano iko mingi sn,.ukishaingia uko usposanuka unapotea mazima[emoji22]
 
Nimejaribu kukuelewa kwa kitu umeandika hapa lakini nimeshindwa. Umechanganya mno maneno na hata mfumo wa uandishi wako ni wa kurundika mno maneno.

Nilitamani labda ungeweka maoni kwa sauti labda ningeelewa, lakini ndiyo hivyo hapa bado hatujapata huduma hiyo.

Lakini, jambo la kufanya ni kutulia na kushusha hasira wakati wa kuandika ili sote tukuelewe, lakini sivyo hivi ndugu yangu. Naomba ufafanue tena.

Ova
 
Afadhali b... umenielewa, tena mstari wa mwisho nimesisitiza dalili za wazi zilionekana kwenye show yake ya mwisho lakini anarudi palepale tena.

Kuna shida moja kwenye jamii yetu, wengi wetu wanadhani mjadala ni kufanya ubishi tu. Kwa hiyo kila hoja ikiletwa mtu hajielekezi kuelewa ila kutafuta pa kubishania.

Hili ndilo tatizo ninaloliona hapa. Ila waelewe kuwa, tatizo la dawa za kulevya ni zaidi ya utani wa timu za mashabiki wa wanamuziki.

Ova
 
Ninachofahamu na kuelewa tu ni kwamba for an artist it's not an easy job staying at the heels, fame and wealth ili uweze kuvi-maintain ji lazima uwe mentally perfect na ndio maana cases nyingi za top artists kutumia ngada sio breaking news tena, limekuwa jambo la kawaida.
 
Kama vile wewe na mimi tulivyoumbwa hata malaya na mateja ni watu kama sisi.

Umaharufu bila Hekima ni Sumu Maishani.
Tusiwatenge kwenye kuwaambia ukweli ili wabadilike..

Sio Mond tuu... wasanii wengi kwa sasa ndio starehe yao.. na hiyo inatokana na kuigana maana hawaishii kwenye nyimbo tuu mpaka life style wanaigana.

Amin kama kuna wasanii watakaothibitisha Mond anabwia, wengi watamuiga wakiamini ndicho kimfanyacho awe juu. maana kwa tasnia ya mziki wetu... Bora kujulikana kuliko Kuheshimika na ndipo tatizo linapokolea.
 
H... mashabiki wanaleta ushabiki ktk suala serious. Sasa hivi mjadala umehamia kwenye chanzo cha habari yangu hii. Wanasahau mimi sikuleta hii kishabiki, ndio maana sikutaka kuweka viashiria vya yeye kutumia hayo madawa.

Lakini, wala siombei muda ulete majibu. Nia yangu ni ya dhati juu ya muhusika, abadilike.
Hii haikuwa thread ya kubishana kabisa, inasikitisha.
 
Umeandika kauzi karefu boss
Ungeandika diamond acha unga angekusikia

Lakini sidhani kama yuko huku kwa kweli

Mtu anatapeliwa kuuziwa ndege ambayo hata kuificha kwenye mfuko huwezi ataweza kushinda na ma great sinker kweli😁😁😁😁

Nimependa pia ulivomaliza umeandika jina lako as ifu kwenye ID yako wameandika "agwenkulu" sio nifah
😁😁👍🏽
 
Uko sahihi.
Lakini kwa kukusaidia,
Kila jambo na wakati wake.
THE END.
 
Unaonekana una maneno mengiiiii halafu akili ndio huna. Unachokisema unakipinga mwenyewe.

Kama umependa acha nikufurahishe zaidi...

Nifah
 
Unaonekana una maneno mengiiiii halafu akili ndio huna. Unachokisema unakipinga mwenyewe.

Kama umependa acha nikufurahishe zaidi...

Nifah
Mkuu😁😁😁
Akili yawezekana sina ila sijafikia level ya kuamini habari nyeti kama hizi habari za madawa ya kulevya kwa "chanzo ninachokiamini" huu ni udunduka mtakatifu na kwa kweli hujafikiria vizuri kujihakikishia taarifa kwa style hio

Mkuu😁
Na mimi tena ndo nina maneno meengi
Umeshasahau umeandika paragraph kibao kwa ajili ya staa au niseme selebrity who chances za yeye kuiona are slim to none

Mkuu😁
Hili la jina bado napenda unavoandika mwishoni pengine hujui kabla hatujasoma inamtambulisha muandikaji ni nani

Anyway don't bother kumjibu mtu asiye na akili

Agwenkulu
 
Mkuu, Shows kweli hawezi mtu kuperform kwa niaba yake ila sio majukumu ya kiutawala. Kwani akiwa amesafiri majukumu yake ya ukurugenzi huwa hayana kaimu? Hadi atoke kwenye shows zote hizo aje afikie kwenye majukumu ya ukurugenzi moja kwa moja bila kupumzika mpaka inapelekea afya yake kuzorota?
 
Cc: Ironbutterfly 🙂
 
kaimu lazima awepo lakini haimzuii yeye kutekeleza majukumu yake ya mkurugenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…