Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo nn iyo?labda anavuta skanka
Nimejaribu kukuelewa kwa kitu umeandika hapa lakini nimeshindwa. Umechanganya mno maneno na hata mfumo wa uandishi wako ni wa kurundika mno maneno.Wewe unaongea kama ni kweli anatumia wakati nikosoma maelezo yako hayaoneshi ushahidi kwa unachoongea sababu zenyewe mnazotoa ni za kitoto sijui kakonda, mwingine anasema sijui nyimbo anazotunga, sijui kachanganyikiwa sasa mkuu wewe upunguaji? labda angekuwa ni mnene alafu angepungua sana angalau hapo, Hakuna wakati unafanya jambo la ajabu ukiwa na stress? Mwingine anasema nyimbo anazotunga now zina matusi lakini anasahau huyo huyo kaachia Zuwena na Yatapita nyimbo ambazo zina ujumbe mzuri na wala hazina matusi.
Kinachomfanya diamond achoke ni hard worker yake hapati muda mwingi wakupuumzika juzi tu kaenda kufanya show Kenya kaperform masaa ma3 jukwaani kesho yake ambaye ni jana karudi tz kaenda kufanya show kahama nakaperform masaa ma3 tena kamaliza show alfajiri akitoka hapo anarudi tena kuendelea na majukumu ya media yake na kusimamia label yake ya Wasafi hivi mnazani kuendesha vitu vingi kwa pamoja ni kazi ya kitoto? Hivi The Undisputed hivi hawa wanaelewa hivi vitu kweli?
Afadhali b... umenielewa, tena mstari wa mwisho nimesisitiza dalili za wazi zilionekana kwenye show yake ya mwisho lakini anarudi palepale tena.Sasa mtu amekutolea mfano wa mwanamuziki mkubwa ambaye aligundulika kutumia madawa ya kulevya mwishoni kabisa mwa taaluma na maisha yake, unaulizia indicators kwa Diamond ambaye ndio ameanza kutumia?
Ndio maana ya huu uzi inapokuja sasa.
Waungwana hatutaki Diamond afikie huko, tunatoa tahadhari kabla ya mambo kuharibika… before it’s too late!
Aligoma kula kipindi kile akiwa mateka ndio mana afya yake ilidhoofika sanaHiki kitu nilihisi pia...
Na wewe chanzo chako ni kipi?!!Acheni ulozi, madawa hata trump anatumia.
H... mashabiki wanaleta ushabiki ktk suala serious. Sasa hivi mjadala umehamia kwenye chanzo cha habari yangu hii. Wanasahau mimi sikuleta hii kishabiki, ndio maana sikutaka kuweka viashiria vya yeye kutumia hayo madawa.Afadhali b... umenielewa, tena mstari wa mwisho nimesisitiza dalili za wazi zilionekana kwenye show yake ya mwisho lakini anarudi palepale tena.
Kuna shida moja kwenye jamii yetu, wengi wetu wanadhani mjadala ni kufanya ubishi tu. Kwa hiyo kila hoja ikiletwa mtu hajielekezi kuelewa ila kutafuta pa kubishania.
Hili ndilo tatizo ninaloliona hapa. Ila waelewe kuwa, tatizo la dawa za kulevya ni zaidi ya utani wa timu za mashabiki wa wanamuziki.
Ova
Acha uongo.Acheni ulozi, madawa hata trump anatumia. Kuna madawa classic hayana madhara sio hayo wanaotumia watoto wenu huko kinondoni
Hiyo uliyoitaja ni biashara yake tu na wadau wake. Kwa matumkzi yeye yuko kwenye kubwa tu kama inavyosemwa na wadau hapa.labda anavuta skanka
Uko sahihi.Naandika hii thread kwa machungu sana, hili limeniwia vigumu sana kulisema hapa, lakini imenibidi!
Siandiki nionekane nilisema, wala sipendi siku thread hii ije kufukuliwa kwamba yametimia, wala siandiki kama umbea. Hili ni suala serious juu ya kijana mwenzetu huyu maarufu pengine kuliko kijana yeyote kutokea katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya.
Ni nini kimekusibu Naseeb? Kwanini ulifikia uamuzi huo wa kutumbukia huko ulikotumbukia? Imeniumiza sana, kweli!
Mimi sio shabiki wako, ila siwezi kupinga wewe ni Icon, watu wanakutazama kama nembo ya upambanaji!
Na sidhani kama unajua wewe ni mtu mkubwa kiasi gani! Mambo mengi ambayo huwa unafanya yanathibitisha hilo, hili pia likiwemo.
Ndugu unayesoma haya, kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa masuala ya wasanii na maisha yao hasa hapa kwetu Bongo lazima utakuwa umewahi kusikia tetesi za Diamond kutumia madawa ya kulevya, mengi yamesemwa… wengi wamesema.
Alianza Harmonize kipindi wapo kwenye ‘bifu’ kali baada ya kuachana na iliyokuwa label iliyomsimamia katika safari yake ya muziki ambayo mmiliki ni Diamond, kila mtu anajua jinsi mtifuano ulivyokuwa mkali baada ya Harmonize kuondoka.
Na katika mtifuano huo ndipo Harmonize alituhabarisha kuwa Diamond ni mteja wa madawa ya kulevya, binafsi sikuamini na niliomba isiwe kweli.
Sikuamini kwakuwa katika ugomvi kila mmoja atasema lolote la kumuumiza mgomvi wake, haikuwa na mashiko sana.
‘Dada wa Taifa’ Mange nae mwaka huu amehakikisha kwa kujiamini kabisa kuwa Diamond anatumia madawa ya kulevya, amesema hivyo mara nyingi… pia sikuamini.
Sasa baada ya maneno na tuhuma hizo juu yake mimi binafsi nikaingia ‘chimbo’
Kila mmoja ana chanzo chake kikuu cha habari, hasa kwa sisi wadau wa habari zote ngumu na nyepesi…
Nikauliza ili nijihakikishie je ni kweli yanayosemwa!
Nilichoambiwa ndicho kimenifanya niandike hii thread, nilijibiwa kiufupi kabisa, “NI KWELI ANATUMIA”
Siko hapa kubishana wala kumshawishi yeyote akubaliane na chanzo changu, mimi mwenyewe ndio naujua uzito wa chanzo changu hicho nyeti. Kiufupi ni kwamba chanzo changu hiki kikiniambia kesho nitafariki naanza kabisa kutubu!
Lengo kuu ni kuongea na muhusika mkuu, Jamii Forums ni platform kubwa pengine atafikishiwa haya.
Tafadhali Naseeb, badili mwenendo. Bado hujafikia hatua mbaya, unaweza kuacha kuanzia sasa ukarudi ktk hali yako ya kawaida.
Hukuona yaliyomkuta Whitney Houston? Wewe una ukubwa gani kumzidi malkia yule wa muziki wa muda wote?
Mifano ni mingi, kwa maslahi ya Taifa tusingependa siku ifike na wewe tukutolee mfano.
Wewe ndiye unayeujua ukweli zaidi kwanini umefikia hatua hiyo, ila tafakari nafasi yako ulipo na ubadilike.
Nifah
Unaonekana una maneno mengiiiii halafu akili ndio huna. Unachokisema unakipinga mwenyewe.Umeandika kauzi karefu boss
Ungeandika diamond acha unga angekusikia
Lakini sidhani kama yuko huku kwa kweli
Mtu anatapeliwa kuuziwa ndege ambayo hata kuificha kwenye mfuko huwezi ataweza kushinda na ma great sinker kweli😁😁😁😁
Nimependa pia ulivomaliza umeandika jina lako as ifu kwenye ID yako wameandika "agwenkulu" sio nifah
😁😁👍🏽
Mkuu😁😁😁Unaonekana una maneno mengiiiii halafu akili ndio huna. Unachokisema unakipinga mwenyewe.
Kama umependa acha nikufurahishe zaidi...
Nifah
Mkuu, Shows kweli hawezi mtu kuperform kwa niaba yake ila sio majukumu ya kiutawala. Kwani akiwa amesafiri majukumu yake ya ukurugenzi huwa hayana kaimu? Hadi atoke kwenye shows zote hizo aje afikie kwenye majukumu ya ukurugenzi moja kwa moja bila kupumzika mpaka inapelekea afya yake kuzorota?Wewe unaongea kama ni kweli anatumia wakati nikosoma maelezo yako hayaoneshi ushahidi kwa unachoongea sababu zenyewe mnazotoa ni za kitoto sijui kakonda, mwingine anasema sijui nyimbo anazotunga, sijui kachanganyikiwa sasa mkuu wewe upunguaji? labda angekuwa ni mnene alafu angepungua sana angalau hapo, Hakuna wakati unafanya jambo la ajabu ukiwa na stress? Mwingine anasema nyimbo anazotunga now zina matusi lakini anasahau huyo huyo kaachia Zuwena na Yatapita nyimbo ambazo zina ujumbe mzuri na wala hazina matusi.
Kinachomfanya diamond achoke ni hard worker yake hapati muda mwingi wakupuumzika juzi tu kaenda kufanya show Kenya kaperform masaa ma3 jukwaani kesho yake ambaye ni jana karudi tz kaenda kufanya show kahama nakaperform masaa ma3 tena kamaliza show alfajiri akitoka hapo anarudi tena kuendelea na majukumu ya media yake na kusimamia label yake ya Wasafi hivi mnazani kuendesha vitu vingi kwa pamoja ni kazi ya kitoto? Hivi The Undisputed hivi hawa wanaelewa hivi vitu kweli?
Cc: Ironbutterfly 🙂Umeandika kauzi karefu boss
Ungeandika diamond acha unga angekusikia
Lakini sidhani kama yuko huku kwa kweli
Mtu anatapeliwa kuuziwa ndege ambayo hata kuificha kwenye mfuko huwezi ataweza kushinda na ma great sinker kweli😁😁😁😁
Nimependa pia ulivomaliza umeandika jina lako as ifu kwenye ID yako wameandika "agwenkulu" sio nifah
😁😁👍🏽
kaimu lazima awepo lakini haimzuii yeye kutekeleza majukumu yake ya mkurugenziMkuu, Shows kweli hawezi mtu kuperform kwa niaba yake ila sio majukumu ya kiutawala. Kwani akiwa amesafiri majukumu yake ya ukurugenzi huwa hayana kaimu? Hadi atoke kwenye shows zote hizo aje afikie kwenye majukumu ya ukurugenzi moja kwa moja bila kupumzika mpaka inapelekea afya yake kuzorota?