PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi.

Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali.
----------------------------


 
Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
 
Screenshot_20250801-183348_X.jpg
 
Huu ni ujumbe waKISIASAalioutoa diamond platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi..
Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali.
----------------------------

View: https://www.instagram.com/reel/DOE6SoMDKYe/?igsh=MTBxd3k1a3Rjc2RwMw==

N.b. Mod huu ni ujumbe wa kisiasa msihamishe jukwaa

Mimi nadhani anayelamba miguu ya kila mtawala ana matatizo zaidi kuliko anayelalamikia kila utawala. Upo uwezekano wa watawala wote kuwa wabovu, lakini hakuna justification ya kulamba miguu ya mtawala yeyote. Kwahiyo, Diamond Platnumz aache kwanza kulamba miguu ya kila mtawala ndipo akosoe walalamikaji.
 
Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.

Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.

Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.

Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
 
Back
Top Bottom