PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Huo ni ukweli mchungu. Acheni kukesha mkizusha na kutukana fanyeni kazi.
 
Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi.

Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali.
----------------------------
View attachment 3461866
Chawa muandamizi wa jambazi papa la Msoga, hii umetumwa kwa maelekezo maalum lakini hao bwana zako hawasafishiki. Naona kila unayempigania kupata ubunge kwa connection yako kwa huyo JK anapata ubunge basi nchi unaona umeikamata kwa kuwa una 'pawa' ya kuingiza chawa wako bungeni.
Kufanya kazi na kulalamika kuwa hakuna haki, au watu wenye mitazamo tofauti wanateswa, wanatekwa na kufi*rwa na pia wanauawa ni vitu tofauti kabisa. Tuseme watu wanaolalamika juu ya human and civil rights hawana kazi? Watu wanaolalamika unfairness kwenye makato ya kodi katika biashara zao ina maana hawana kazi?
Si kila mtu anaishi kwa uchawa, mwisho mnatafuta kutukanwa kwa kuwa almost wote hapo ni watoto msiokuwa na uhakika kuhusu baba zenu hence malezi yaliyokosa staha.
Watu wanavunjika viuno kwenye construction sites wakilalamika matibabu hayakidhi standards utasema wafanye kazi?
 
Huyu mbona kipindi kile cha Jiwe alikuwa anamlalamikia Juliana Shonza kwa kufungia nyimbo zake na akasema kwamba yuko mbioni kuchukua Uraia wa Kenya?

Au sio huyu aliokuwa analalamikia TRA kipindi fulani akisema kodi ni nyingi

Kwa hiyo Rostam alipokuwa analalamikia kwamba mahakama za Tanzania hazitendi haki na yeye alikuwa hafanyi kazi?

Huyu kweli ni form 4 failure. Magu mwenyewe alikuwa Rais na alikuwa ANALALAMIKA on stage, kama Rais analalamika kwanini Watanzania wasilalamike?
 
Msanii WA BongoFleva Diamond PLATINUMZ amewachana Vijana kuwa ACHENI kupiga kelele mitandaoni na KUILAUMI SERIKALI na BadalanYake FANYENI kazi
 

Attachments

  • instagram-1756791530056.mp4
    6 MB
Chama Cha Mapinduzi kinabanangwa na CCM Mtandao ndiyo hoja ya msingi. Kukataa ubanangwaji na ubagazwaji wa chama ni jambo la maana kuliko hayo unayoyasema.
 
Anajua ata umuhmu wa utawala bora kweli huyu?? Ngoja siku wamlimbikizie makodi kwenye mambo yake aanze kulia mitandaoni akihtaji sympathy and mass support kwa mashabiki nd ataelewa
😅😅
 
Back
Top Bottom