LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
YA kweli haya??Anawajua ndo maana Diamond kawatoa vijana wa kimasikini wengi na kuwapa ajira , fame
YA kweli haya??Anawajua ndo maana Diamond kawatoa vijana wa kimasikini wengi na kuwapa ajira , fame
Fanya kazi kaongea pointi kubwa sana haswa kwa vijana wa kibongo wa sasa.Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Naunga mkonoNimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Jitahidi ufiche ujinga wakoNimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Huna jeuri hiyo, ungekuwa mti wa kumu unfollow ungekuwa ushafanya hivyo kitambo.Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
Ila jamani ana haki kikatiba kusimama upande anaona unamfaa na kutoa maoni.Wasanii wa Tanzania wanaona wanajua siasa sana eeehhhh
Diamond Platnumz unajiona kuwa umestaarabika sana na kuwa wewe sasa ni master political pundit lololol
Haya madharau mlionayo na watanzania wakati ndio mashabiki wenu...
Ni hivi tunataka katiba mpya ili isilete ugali mezani, wala kutulipia mahari.Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.
Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.
Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.
Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
Akili zako ziko likizoNi hivi tunataka katiba mpya ili isilete ugali mezani, wala kutulipia mahari.
Wamesikia nini?Wakenya wamemsikia
Huwa nikiona comment yako nacheka sana na kusema kuna wazazi wana hasara. Bora angevaa kondo mu tu.Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.
Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.
Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.
Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
Lucas katika jinsia ya kikeToa upumbavu wako,usanii ni burudani utachagua au usichague lakini haimzuii mtu kumchagua itikadi na dini yake.
Mbona himsemi Roma ,Ney ila unaonNongwa Kwa Mondi et all?
Fanyeni kazi upuuzi wa kina PLPL hautawasaidia kamwe.
Kuna sehemu watu wana vicheko kama kwenye wodi za vichaa?Huwa nikiona comment yako nacheka sana na kusema kuna wazazi wana hasara. Bora angevaa kondo mu tu.
Nakumbuka nilipofundishwa uchumi form 5 niliambiwa watu wenye vipaji wako kwenye category ya kuwa na ukwasi mkubwa. Wewe unaona kukata viuno lakini wachumi waliliona hilo miaka mingi iliyopita na wakaliweka kwenye higher earning bracket.yeye anafanya kazi gani, kukata viuno? Uhuni ni kazi?