mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Tafuta chimbo ulambe asali acha wivu hichi ni kipind chetu wasanii tunalamba asaliHakuna mtu analalamika ili apewe nyumba au chakula bure na serikali, ufisadi wa kina Abdul na Rostam, wizi wa kura na watu kudhulumiwa haki ndio malalamiko, kashiba hela za kampeni huyu