PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Acha maelezo mengi kafanye kazi mkuu. Ukweli ni kuwa Braza K hawezi kukuletea chakula mezani.
He is stupid na ni chawa, truth must be said. Kwenye suala la mimi kufanya kazi I’m beyond that level. It’s not about bragging lakini ukweli ni kwamba I’m beyond working class.
Turudi kuwaangalia those who’re working but still hanging by the very thin thread, hawana haki ya kuboresherewa mazingira ya kazi ili nao watoboe kimaisha?
 
Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.

Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.

Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.

Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
Safi sana mkuu. All Politicians are fighting for their stomachs. Wajinga wengi hawalijui hili. Hakuna mtu aliwahi kujiunga JWTZ au Police kwa kuipenda Tanzania, watu walifuata salary slip Mzee baba.
 
Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.

Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.

Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.

Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali

Kwani unanufaika sana isipokuwapo reforms?

Polepole kwa ushahidi huu, CCM acheni kutuambia mtafanya nini eti ndani ya siku 100. Jibuni hoja zake, haziepukiki, hizo ndizo za wananchi!
 
Nimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake
FANYA KAZI.
 
Watu hawapendi ukweli , ila kazi ni kipimo cha utu.
 
Back
Top Bottom