PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hili jamaa inatakiwa tuliaunfollow na East Africa nzima tueneze propaganda ya kulikataa kuwa ni lisaliti la wazalendo.
 
Huyu mpang"ang'''aaa hajasoma anashauri nn mda wote anakaa na mashoga insue ya inchi yetu tanzania ni ya maskini na matajiri

Nani amekuambia hatuna hela nan amekuambia watu hawafanyi kazi
Unajua kazi za shamba wewe huyu shoga si anategemea hela zitoke kwa wasiofanya kazi pidd atakusurport
 
Mwenye shibe hamjui nwwenye njaa
KAZI YAKE YEYE HII HAPA

1756816747256.png
 
Waswahili walisema "Aliyeshiba hamjui mwenye njaa".

Kuna siku nilikuwa nawasema watu kuwa wana uvivu wa kusoma na kuielewa dunia.

Nikasema mimi tangu mdogo nilipenda kuijua dunia, nilienda Tanganyika Library. Nilienda British Council. Nilienda USIS Peugeot House. Nilienda Tambaza Library. Nilijitahidi sana kuijua dunia. Kwenye mambo mengi sana mengine hata hayakufundishwa shuleni. Nikasema wengine hawakufanya jitihada hiyo, ni makosa yao.

Kuna rafiki yangu mmoja akasema "Kiranga, unaelewa kuwa hata kuzijua hizo sehemu tu ilikuwa ni privilege kubwa kwako, kuna watu wengi ama hawakujua hizo sehemu, ama hawakuwa na uwezo wa nauli au muda kwenda. Inawezekana familia uliyozaliwa wewe tu tayari imekupa privilege ya kujua umuhimu wa kusoma na kuweza kwenda hizo sehemu, halafu ukajiona umefanya jitihada kubwa wewe mwenyewe".

Nikapinga suala la privilege moja kwa moja, kwa sababu kuna watu walikuwa na privilege sawa au zaidi yangu hawakujishughulisha vile. Nilijua kuna sehemu nimefanya jitihada binafsi.

Lakini pia nikaanza kuhoji suala la jitihada binafsi tu, kwa sababu niliona suala la privilege pia. Watoto wenye home library wanaanza tangu utoto kujua umuhimu wa kusoma. This is a privilege not accorded to all.

So, are Diamond and crew considering their privileges (and even luck)?
 
Mshukuru Mungu kwa hili tobo la music mbona angejuta domo lingekuwa Zito kg 100 hata kuongea ingekuwa shida
 
Video clip ya wanamziki wanne wa tz(Diamond, ommy dimpoz, jux na Mario) kuhusu swala la watu kuacha kulaumu utawala wa serikali ni wamefanya sahihi kabisa maana wananchi wengi amekuwa wakitoa lawama kwa utawala pasipo kujua hakuna kiongozi atakaye kuletea chakula nyumbani Bali tufanye kazi tuache lawama
 
Sidhani kama raia wengi wanatoa lawama sababu wanakosa chakula nyumbani, hakuna anaetarajia ataletewa chakula

Ila kuna mambo ya msingi yanayonelana kupuuzwa na hayo lazima wapige kelele
 
Huu ni ujumbe wa KISIASA alioutoa Diamond Platnumz Kwa Watanzania akiwaasa waache Lawama na wafanye kazi.

Kwani Kila Awamu wanailalamikia serikali.
----------------------------

Halafu ni ujinga kufikiri kua watanzania hawana kaz ndio maana wanakosoa! Kuna wananchi wanaendaga ikulu kuomba pesa? Au ofisi za CCM au taasisi za serikali kuomba pesa? Ifike mahali mkubali kua watanzania wa 1965 sio watanzania wa 1990s na 2000s!!!
 
Hakuna mtu analalamika ili apewe nyumba au chakula bure na serikali, ufisadi wa kina Abdul na Rostam, wizi wa kura na watu kudhulumiwa haki ndio malalamiko, kashiba hela za kampeni huyu
🙋✍️🎯👍👏🤝🙏
 
Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.

Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.

Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.

Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
Mkuu wajinga sio, wewe na mginesi wa mdomo ndio wereeeevu! tukutane kwenye tundu bovu!!!
 
Waswahili walisema "Aliyeshiba hamjui mwenye njaa".

Kuna siku nilikuwa nawasema watu kuwa wana uvivu wa kusoma na kuielewa dunia.

Nikasema mimi tangu mdogo nilipenda kuijua dunia, nilienda Tanganyika Library. Nilienda British Council. Nilienda USIS Peugeot House. Nilienda Tambaza Library. Nilijitahidi sana kuijua dunia. Kwenye mambo mengi sana mengine hata hayakufundishwa shuleni. Nikasema wengine hawakufanya jitihada hiyo, ni makosa yao.

Kuna rafiki yangu mmoja akasema "Kiranga, unaelewa kuwa hata kuzijua hizo sehemu tu ilikuwa ni privilege kubwa kwako, kuna watu wengi ama hawakujua hizo sehemu, ama hawakuwa na uwezo wa nauli au muda kwenda. Inawezekana familia uliyozaliwa wewe tu tayari imekupa privilege ya kujua umuhimu wa kusoma na kuweza kwenda hizo sehemu, halafu ukajiona umefanya jitihada kubwa wewe mwenyewe".

Nikapinga suala la privilege moja kwa moja, kwa sababu kuna watu walikuwa na privilege sawa au zaidi yangu hawakujishughulisha vile. Nilijua kuna sehemu nimefanya jitihada binafsi.

Lakini pia nikaanza kuhoji suala la jitihada binafsi tu, kwa sababu niliona suala la privilege pia. Watoto wenye home library wanaanza tangu utoto kujua umuhimu wa kusoma. This is a privilege not accorded to all.

So, are Diamond and crew considering their privileges (and even luck)?
Sisi tulikuwa mazingora tofauti kabisa,sahvi sijui kama tanganyika library na sehemu zingine kama zinapata wahudhuriaji 😄

Ova
 
Video clip ya wanamziki wanne wa tz(Diamond, ommy dimpoz, jux na Mario) kuhusu swala la watu kuacha kulaumu utawala wa serikali ni wamefanya sahihi kabisa maana wananchi wengi amekuwa wakitoa lawama kwa utawala pasipo kujua hakuna kiongozi atakaye kuletea chakula nyumbani Bali tufanye kazi tuache lawama
Raia hawalalamikii serikali iwape maisha bora, tunacholalamikia ni kwamba kodi zetu zinatumika kwa matumizi yasiyo sahihi.
 
Back
Top Bottom