PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kama NI shooting ya videos ya nyimbo zake je.msanii NI msanii tu sio wa kushindana nae
 
Habari za Midnight wapendwa !
Nijielekeze kwenye Mada Kwa ufupi.

Nimeandika kwa hasira sana na ni baada ya kuona clip ya kijana aliyepata mafanikio kwa sapoti ya Watanzania wote.

Diamond kwa sababu anashiba na anapata unafuu wa Kodi, anapata mikopo kutoka kwenye mfuko wa Wasanii ni Moja ya Wasanii wanaonufaika kwenye mgongo wa Chama chetu na serikali. Haya yamemfanya kuwa kipofu ni juzi tu aliambiwa alipe Kodi akawa anapiga kelele na Watanzania wengi waliungana nae huyu kijana aliyekulia mazingira magumu kasahau Uhalisia wa maisha.


Ukweli Kila awamu kunakuwa na kasoro zake watu ni lazima waseme ila hawapaswi kusimangwa tena na mtu MJINGA anayetegemea Serikali na Chama kufanikiwa ni sehem ya Machawa anapata wapi nguvu ya kusema hustlers wa Nchi hii?

NB: Kiukweli Watanzania ni wajinga sana hivi Wasanii (sio wote) Huwa mnaenda Kwenye shows zao kufanya nini?
Watu gani hawasimami kwa ajili ya voiceless. Kioo Cha Jamii ndio hivi Ujinga Ujinga huu. I really admire artists from Nigeria, Kenya sio Hawa pimbi. Huwa nawaza Watanzania tutakuwa wajinga na kufanywa wajinga na wajinga Hadi lini? Guys wake up. God where are you ? Save us our Almighty. Sio kwa Ujinga huu tutatumika Hadi lini even useless people are enjoying our presence.

Kiukweli Sijapenda kauli ya huyu kijana kawakosea sana vijana wa Nchi hii.
​
 

Attachments

  • 6188862-4e6e4f0aa4fb18c17e4bae9c7f28a2ab.mp4
    46.4 MB
Kuna watu wanapewa buku 7 tu per day ila wanasahau kabisa uhalisia wa maisha ya watanzania wenzao

Kwahiy sio kitu Cha kushangazaa kwa naseeb anayepata madeal mengi ya serikali na kupata nafasi ya kutengenez empire yake Tanzania

Kwahiyo kama ulivyosema wabongo wasiposhtukia kuwa kwenye hii mechi hakuna aliyevaa jezi kwaajili ya kuwapigania itabidi waingie wenyewe uwanjani
 
Mkuu unataka tulijadili hadi jitu lililopumuliwa na Didy?

Wataalam wanatuambia kuwa mbegu za kiume zikishagusa tu tundu la kutolea mbolea huwa zinamadhara kwenye ubongo so tusilipe kick cho_ko hilo
 
Mkuu unataka tulijadili hadi jitu lililopumuliwa na Didy?

Wataalam wanatuambia kuwa mbegu za kiume zikishagusa tu tundu la kutolea mbolea huwa zinamadhara kwenye ubongo so tusilipe kick cho_ko hilo
Hili ***** NINGEPENDA Watanzania wakae mbali hata na kurasa zake.
 
Kuna watu wanapewa buku 7 tu per day ila wanasahau kabisa uhalisia wa maisha ya watanzania wenzao

Kwahiy sio kitu Cha kushangazaa kwa naseeb anayepata madeal mengi ya serikali na kupata nafasi ya kutengenez empire yake Tanzania

Kwahiyo kama ulivyosema wabongo wasiposhtukia kuwa kwenye hii mechi hakuna aliyevaa jezi kwaajili ya kuwapigania itabidi waingie wenyewe uwanjani
Tutachelewa sana sisi ndio tunawapa KIKI Kuna mwingine alienda kule Kenya walichomfanya hatakubali kurudi huko hata CAF sidhani kama watampa hiyo platform nje ya Tanzania. Najua Serikali yetu ilihusika kupendekeza Jina lake but Hawa jamaa ni wabaya sana.
 
Hili ***** NINGEPENDA Watanzania wakae mbali hata na kurasa zake.
Binafsi ninazaidi ya miaka 10 sijawahi kuingia kwenye moja ya kurasa zake ,kwanza nikatafute nini?

Yaani kabisa nakaa mahali nasikiliza upuuzi wa hili Cho_ko , seriously? mbona hata family itanishangaa sana 😎
 
Nimeona clip yake ya dharau sana ,ila litamfika soon kama 'mkewe' yaliyo mkuta fainali za Chan , Nairobi Kenya
 
Kwenye kile kikao chao cha ******* Omari pekee nahisi kipa bado yupo uwanjani...
 
Tutachelewa sana sisi ndio tunawapa KIKI Kuna mwingine alienda kule Kenya walichomfanya hatakubali kurudi huko hata CAF sidhani kama watampa hiyo platform nje ya Tanzania. Najua Serikali yetu ilihusika kupendekeza Jina lake but Hawa jamaa ni wabaya sana.
Sisi tupo tofauti na wakenya , wakenya ukiwazingua wanakuzingua tofauti na sisi tunaendeshwa na trending ya matukio ya muda uliopo Leo mond kasema hivi kesho tutaamka na suala la mzize kesho kutwa tunamalizia suala la simba day mambo yote yamekwisha tunasubir jambo lengine tena

Yaani tukio hili linazimwa na tukio linalokuja haijalishi Lina umuhimu kwa jamii au laah ilimradi tuburudike tu
 
Back
Top Bottom