Anapotukana vijana hawana kazi eti wanakaa vijiweni anawalisha yeye ,kila mwaka wahitimu zaidi ya laki 3 wanaingia kitaa kusaka ajira ana huo uwezo wa kuwasaidia kupata ajira au kuwapa mitaji ya biashara kwa huo utajiri wake wa 20b tsh ?
Bakhresa Kila ijumaa anagawa pesa kwa maskini misikitini na kule kwake Masaki ,hajawahi hata siku moja kutukana watu kuwa wavivu !!!
alianza kumnyali baba yake mzazi lwa kusikiliza sumu za mama yake ,akahamia kwa wasanii wanaocha kazi huko wasafi hata sasa ana bifu na msanii wake mboso anamdai 300m tsh
Kijana jikite kwenye muziki wako ,pesa ya ccm ya campeni isikulevye ,Diamond huwezi kufikia level ya Capteni John Komba kwenye kukinadi ccm ,aliteleleza kidogo tu yakamkuta yaliyomkuta sikiliza kilio cha watoto wake sasa hivi .
Watu wengi walikuunga mkono wakati ulipokuwa kimya hujibizani na watu hasa wabaya wako ,wewe jidanganye tu ,Tanzania sio Somalia
ushike adabu zako ,usiwadharau watanzania ,watanzania hata wawe na shida ,umaskini ,kukosa ajira ,kukosa mitaji ya biashara lakini hakuna mtanzania anayekufa kwa njaa kalaghabao !!!