exactltFRom sativa🤣🤣
Hapa nakubaliana na wewe asilimia mia mkuu.Baada ya simba na yanga unafuatia mziki kutupumbaza watz
Ndio nani huyo huko Dar?!Sasa naelewa kwanini watu wa vijijini wanawakubali best nasso na 20%. Ni kwa sababu wana relate na struggle zao.
Lakini sishangai huyu kisabengo kujawa na dhararu namna hii, yote ni kuwa anajua yupo katika nchi ya vijana kondoo ambao hata akiwatukana kesho akitoa wimbo watakopa songesha ili waingalie YouTube waingalie.
View attachment 3463028 Huyu mkuda kasahau alipotoka
👇🏻👇🏻
View attachment 3463034
Mke wa Puff dadyNdio nani huyo huko Dar?!
🤣🤣🤣🤣Mke wa Puff dady
Ndio uhalisia mkuuHapa nakubaliana na wewe asilimia mia mkuu.
Kwa mentality hii ,una safari ndefu sana ya kufikia uelewa wa jinsi nchi inavyoendeshwa!Kweli kabisa, kuna wajinga hata kulima hamna, eti wanasubiri reform, reform ni ya kumuingiza Lissu madarakani tu aanze kula hela. Watu wa jimbo la Singida mashariki wamekuwa na Lissu kama mbunge kwa miaka mingapi lakini jimbo halina maendeleo. Kama Lissu ni mtu wa mipango mbona jimboni kwake majalala tu.
Mfano, je Diamond angesema asijiingize katika fani ya muziki akisubiri kwanza nchi iwe na katiba mpya ingekuwa ni upuuzi.
Babu zetu enzi ya mkoloni walilima na kufuga na kutembea kwa miguu kufanya biashara, hapakuwa na reform wala katiba mpya, lakini kwa jitihada zao walilea familia na kusomesha wazazi wetu.
Katiba hata ikibadilishwa leo, serikali haitakulipia mahari, haitakuletea ugali nyumbani, haitakupa hela ya bia. Kimsingi hata Lissu anapigania reforms za uchaguzi tu aingie madarakani, ale hela za umma, hakuna mahali amepigania wewe upate ugali
Kaongea ukweli mfano huyo dada yenu mange zama za JPM alikua asema hovyo na kwa mama anasema hovyo zaidiNimeisikiliza hiyo Clip, amesahau kilichomtokea manzi yake kule Kasarani, aendelee kujidanganya, naona nae unafiki na uchawa umeanza kumuingia, asijisahau kwamba yeye ni msanii kwa ajili ya watu wote, sio kwamba mashabiki zake wote ni wa upande ule tu, la hasha
Mpaka asubuhi nitakua nime muanfollow katika page zake zote, usituletee ujinga na hilo lililomkana mzazi wake