Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Wapumbavu ni wananchi wanaopelekwa puta na wanaharakati uchwara tena wanawake kuandamana na kuichoma nchi yao. ..na zaidi ni wapumbavu mno sababu wanaaminishws mtu aliefanikiwa maisha ni fisadi, ni wajinga zaidi kwa kuwapangia wasanii vyama vya siasa vya kushirikiana nao..Yani you motherfuckers think you own some other peoples lives, na ni washenzi zaidi sababu wanachukia wakiambiwa wafanye kazi, Yan wao hawataki kufanya kazi dezo dezo wanaona sababu Wana rasilimali za taifa hivyo Wana share hawataki kujishuhulisha ..na ni wasengerema zaidi kwa kuendekeza chuki kwa waliofanikiwa badala ya kutaka kujifunza kutoka kwao kua wamefanikiwaje. Wao wanaambiwa tokeni muandamane na mchome magari, ofisi za serikali, mpindue nchi, mchome mabasi ya umma ambayo hayo hayo mnayatumia, na wao wanakubali kama mazuzu huku wanaowaambia hivyoSwali kama ili awezi kuuliza mtu isipokuwa mpumbavu ...ni sawa na hoja ya serikali pumbavu ya Samia kuwa dini zisijiusishe na siasa ila zikijiusisha na siasa kuunga mkono upumbavu wa serikali yake huko siyo kujiusisha na siasa ila zikipinga uovu wa serikali ndiyo zina ambiwa zinajiusisha na siasa ....kama DIAMOND HANA KOSA KUUNGA MKONO SERIKALI HARAMU NA YA KIGAIDI YA SAMIA BASI NA WANANCHI HAWANA KOSA KUMKATAA HUYO DIAMOND PIA...JAPO HAKUNA HAKI YA KUUNGA MKONO MAOVU ...HIVYO WANANCHI WAPO UPANDE SAHIHI ...MFANO yule kijana wa mbeya aliye chana picha ya Rais ...alikamatwa na kufikishwa mahakamani na Serikali ya kigaidi ya samia na kuhukumiwa na yeye kutimiza hukumu na kulipa faini na kuachiwa huru lakini vikosi vya KIGAIDI VYA SAMIA VIKAMUUA BAADA YA SIKU CHACHE JE KWENYE TUKIO KAMA ILO DIAMOND ANAYO IHALI YA KULIUNGA MKONO ? KWA KISINGIZIO CHA SIASA ?HAKI NI HAKI
Aliwaambia nyinyi mnaopelekeeshwa na mange na maria Sarungi kuichoma nchi yenu na kutaka kupindua serikali...Ok sawa...ila alikuambia wewe ku......mako ulifurahi pia au sio?