PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yeye afanye muziki kazi yake na GenZ wafanye mambo yao hawataingia kwenye kurasa zake wala kupakua nyimbo zake, hawataenda kwenye show zake.
Kila mtu afanye yake hakuna kelele.
Ataenda kupiga show events za CCM na serikali, pia za nje ya nchi.
Subscribers/followers wa kazi zake kwenye social media atapata huko huko nje na kwa CCM.
END OF STORY.
Acha kulialia kama shabiki hawana umuhimu kwenye kazi zake. Wameanza kufanya kazi kuliko kufuatilia kazi zake za sanaa.
Wameupokea ushauri wake wameufanyia kazi.
 
Wasanii wafanye kazi, waache kulialia.

Hata hivyo Samuya alipata kura 31M, so waende kukata viuno kwa hao mabumunda waliompigia Samuya ila wakijichanganya huku kitaa mawe yanawahusu.

Au wasubiri October 2030 kwenye kampeni za chama cha kigaidi cha CCM waache kulialia.
 
aliye mwambia kumalamamake nani? atuambie kwanza! naona mnakata kata vipande mnaondoa alipotukana! kwa nini atukane? anaona wote wajinga? wanaomsapoti ndio waliochukia kutukanwa!

yeye wa kututukania wazazi kweli? kayapatia maisha! mama yake pia akatuambia hana shida wanaeza kula miaka 10 bila.kutegemea mziki basi waendelee huko kula
 
Kil
Nimekua natafakari sana Kauli ya diamond aliyoitoa kwa watanzania haswa vijana wanaokesha mitandaoni kutukana, kulalamika na kuchochea machafuko..

Yan mbongo kuambiwa ufanye kazi unapata homa na mhemko ...mlitaka awaambiaje? Kwamba njooni kwangu niwape hela? Au msifanye kazi?

Hata hii movement sijui ya kutosapot muziki wao...ni vichekesho, mtu anaongea hivyo na kwenye smartphone yake ana gonga Ngoma zao kama kawaida tena magetoni unaskia Ngoma kibao za wasanii wetu..tunakaa uswahilini tunaona na kusikia.

Nafikiri kinachochea tabaka kubwa la maskin na matajiri ni chuki inayopandikizwa kwa maskin kwa matajiri au watu wanaojiweza kimaisha
Kila mtu ashinde mechi zake round hii hakuna kutia uluma
 
Ok sawa...ila alikuambia wewe ku......mako ulifurahi pia au sio?
 
Hivi anaewaambia watu wafanye kazi.

Huwa anawalisha, anawalipia kodi, anawavisha, amewanunulia smartphones ama bando la airtime..

Unapata wapi audacity ya kumuambia mtu afanye kazi wakati hakutegemei...

WHO ARE YOU? Kwenye maisha yao
 
Nimekua natafakari sana Kauli ya diamond aliyoitoa kwa watanzania haswa vijana wanaokesha mitandaoni kutukana, kulalamika na kuchochea machafuko..

Yan mbongo kuambiwa ufanye kazi unapata homa na mhemko ...mlitaka awaambiaje? Kwamba njooni kwangu niwape hela? Au msifanye kazi?

Hata hii movement sijui ya kutosapot muziki wao...ni vichekesho, mtu anaongea hivyo na kwenye smartphone yake ana gonga Ngoma zao kama kawaida tena magetoni unaskia Ngoma kibao za wasanii wetu..tunakaa uswahilini tunaona na kusikia.

Nafikiri kinachochea tabaka kubwa la maskin na matajiri ni chuki inayopandikizwa kwa maskin kwa matajiri au watu wanaojiweza kimaisha
Swali kama ili awezi kuuliza mtu isipokuwa mpumbavu ...ni sawa na hoja ya serikali pumbavu ya Samia kuwa dini zisijiusishe na siasa ila zikijiusisha na siasa kuunga mkono upumbavu wa serikali yake huko siyo kujiusisha na siasa ila zikipinga uovu wa serikali ndiyo zina ambiwa zinajiusisha na siasa ....kama DIAMOND HANA KOSA KUUNGA MKONO SERIKALI HARAMU NA YA KIGAIDI YA SAMIA BASI NA WANANCHI HAWANA KOSA KUMKATAA HUYO DIAMOND PIA...JAPO HAKUNA HAKI YA KUUNGA MKONO MAOVU ...HIVYO WANANCHI WAPO UPANDE SAHIHI ...MFANO yule kijana wa mbeya aliye chana picha ya Rais ...alikamatwa na kufikishwa mahakamani na Serikali ya kigaidi ya samia na kuhukumiwa na yeye kutimiza hukumu na kulipa faini na kuachiwa huru lakini vikosi vya KIGAIDI VYA SAMIA VIKAMUUA BAADA YA SIKU CHACHE JE KWENYE TUKIO KAMA ILO DIAMOND ANAYO IHALI YA KULIUNGA MKONO ? KWA KISINGIZIO CHA SIASA ?HAKI NI HAKI
 
Ni kosa kwa mamlaka za duniani na mbinguni? Afanye kazi yake na sisi tufanye kazi zetu. Ni wapi imeandikwa ni lazima tusapoti mziki
Kwani mwanzon mlikua mnafanyaje na sio yeye tu..na wengine Hadi wanaume mnaimba sukari ...leo hii wanakaa meza Moja na ccm mnawaona wanga...
 
Swali kama ili awezi kuuliza mtu isipokuwa mpumbavu ...ni sawa na hoja ya serikali pumbavu ya Samia kuwa dini zisijiusishe na siasa ila zikijiusisha na siasa kuunga mkono upumbavu wa serikali yake huko siyo kujiusisha na siasa ila zikipinga uovu wa serikali ndiyo zina ambiwa zinajiusisha na siasa ....kama DIAMOND HANA KOSA KUUNGA MKONO SERIKALI HARAMU NA YA KIGAIDI YA SAMIA BASI NA WANANCHI HAWANA KOSA KUMKATAA HUYO DIAMOND PIA...JAPO HAKUNA HAKI YA KUUNGA MKONO MAOVU ...HIVYO WANANCHI WAPO UPANDE SAHIHI ...MFANO yule kijana wa mbeya aliye chana picha ya Rais ...alikamatwa na kufikishwa mahakamani na Serikali ya kigaidi ya samia na kuhukumiwa na yeye kutimiza hukumu na kulipa faini na kuachiwa huru lakini vikosi vya KIGAIDI VYA SAMIA VIKAMUUA BAADA YA SIKU CHACHE JE KWENYE TUKIO KAMA ILO DIAMOND ANAYO IHALI YA KULIUNGA MKONO ? KWA KISINGIZIO CHA SIASA ?HAKI NI HAKI
Wapumbavu ni wananchi wanaopelekwa puta na wanaharakati uchwara tena wanawake kuandamana na kuichoma nchi yao. ..na zaidi ni wapumbavu mno sababu wanaaminishws mtu aliefanikiwa maisha ni fisadi, ni wajinga zaidi kwa kuwapangia wasanii vyama vya siasa vya kushirikiana nao..Yani you motherfuckers think you own some other peoples lives, na ni washenzi zaidi sababu wanachukia wakiambiwa wafanye kazi, Yan wao hawataki kufanya kazi dezo dezo wanaona sababu Wana rasilimali za taifa hivyo Wana share hawataki kujishuhulisha ..na ni wasengerema zaidi kwa kuendekeza chuki kwa waliofanikiwa badala ya kutaka kujifunza kutoka kwao kua wamefanikiwaje. Wao wanaambiwa tokeni muandamane na mchome magari, ofisi za serikali, mpindue nchi, mchome mabasi ya umma ambayo hayo hayo mnayatumia, na wao wanakubali kama mazuzu huku wanaowaambia hivyo wamepokea mabilioni
 
Back
Top Bottom